Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Amekuwa kama Jaji Warioba, kuisaidia hii nchi ni kusema ukweliSasshivi yuko jukwaa huru,,ukiwa mbuge au waziri haurushusiwi kusema kutu kinachoenda kinyume na serikali
Amekuwa kama Jaji Warioba, kuisaidia hii nchi ni kusema ukweliSasshivi yuko jukwaa huru,,ukiwa mbuge au waziri haurushusiwi kusema kutu kinachoenda kinyume na serikali
Hayo aliyasema zamani kabla hajaingizwa kwenye sufuria la kuhifadhia Asali ! I suppose 😳 ,Anaona kazeeka anakaribia kung'ata dongo ndo anaamua kupromoti vurugu
Not True ,Maza yupo makini sn anaipenda nchi ake
Mbona Wasira hayupo hivyo?Not True ,
Ni kwa vile yupo Out of………. 😳 !
Wanakuwaga vile !
Huyo madame huwa anaongea points akiwa nje ili kuatract attention ya uteuzi then akisha kumbukwa anakuwa anabadilika kama sio yule umjuaye siku zote !Mbona Wasira hayupo hivyo?
Nakubaliana na wewe, ukikubali kusaliti nchi ako lazima ujiunge na wanyonyaji ndiyo hapo tofauti yetu na wazungu ndiyo maana sisi ni masikini wa mali na akili japo tuna rasilimali nyingi haswaHuyo madame huwa anaongea points akiwa nje ili kuatract attention ya uteuzi then akisha kumbukwa anakuwa anabadilika kama sio yule umjuaye siku zote !
Swali la kujiuliza je Mimi na Wewe tunaweza kukwepa kuwa vigeu geu kama nasi tukikaribishwa Jamvini 🤣🤣 !
Nadhani watu wengi husema yale wanayoyaamini wakiwa nje ya Jamvi lakini tukisha kuwemo Jamvini mambo yote huwa ni mswano tu !
That’s the problem and that is our Attitude 😳🙄 !
Profesa na Dr Anna Tibaijuka Mwanamke wa kwanza kuliongoza shirika la Umoja wa Mataifa la makazi UN-HABITAT.
Achana na kuwa Mbunge wa Muleba Mkoani Kagera sijui kuwa Waziri. Huyu alikuwa mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi duniani UN habitat.
Anakuambia si rahisi kupata katiba mpya katika Mazingira ya Amani.
WEWE UNAYEPINGA KATIBA MPYA WEKA WASIFU WAKO HAPA
Ni kweli, na ndiyo maana CCM wanatumia nguvu zote kuendelea kuwajaza vijana ujinga ili wazidi kuwa wajinga na wao waendelee kutawala, vijana wakiwa upande wako ur safe 100%.
Hao wasanii kujazana pale na kupata tuzo ni moja kati ya janja za CCM
Unless wapinzani hasa CDM kuja na plan B, vingivyo business as usual.
Yule Mzee wa dhihaka anasema ati katiba haileti chakuka mezani bali CCM italeta.
Hip hip hureee. Hapa kilichopo ni uoga tu. Uoga uoga uoga na ccm itaendelea kushika utamu
Ndiyo maana chadema tumemchagua lissu aanzishe maandamano na uvunjifu wa amani ili tupate katiba mpya.
Mbowe alituchelewesha sana.
Hakuna njia nyingine yoyote ile mbadala wa hiyo. Hiyo ndio njia pekee iliyobaki ili waTanzania waweze kupata Katiba yao waipendayo iliyo nzuriAnayo ongea ni sahihi lakini tusiombee tufike huko. Makaburu walibidi wakubali mabadiliko baada yakuona mambo hayaendi tena kila kona nikuviziana ukimuua muafrika wanaululiwa wazungu kumi tena wengine wala si makaburu. Uharibifu wa miundo mbinu uvunjaji washeria ulio pitiliza, ilikuwa kuokota maiti kumi, ishirini mitaani lilikuwa jambo la kawaida. Kenya mauaji yalikuwa maisha ya kawaida watu wameuwawa sana, Na mbaya sana ikifiki,, a hali hiyo vyama vya siasa vinakaa kimya yanakuwa ni makundi yasiyo na viongozi maalumu, Mengine ynakuwa ya Serikali, mengine yanakuwa ya majambazi, mengine yanakuwa ya wanasiasa na mengine yanatokanavmiongoni mwa majeshi yetu. Taifa likifikia hivyo hata hizo mali ambazo mmezichuma mlioko madarakani mnaweza mkazitema. Wakuwapi wakina obote, Idiamini, Mabutu na madikteta wengine yaani mpaka vizazi vyao vimefutika. Najua mpaka sasa nchi yetu ni shwari ila kunaviashiria vya uvunjifu wa amani. Kwa sasa watawala wataona niRaisi kuvinyamazisha kwa Mtutu na vikanyamaza, wakatawala, lakini watawala wajue kutawala kama mseveni au kagame inaitaji moyo sana na umakini wa hali ya juu sana.
Hivi JK kuna mgodi alikuta haujabinafsishwa?Hayo aliyasema zamani kabla hajaingizwa kwenye sufuria la kuhifadhia Asali ! I suppose 😳 ,
Hata kuhusu mikataba ya madini Enzi zile za Jk alisemaga zipo taratibu za kurekebisha mikataba mibaya ilioingiwa na Nchi , akasema huko UN vipo vitengo vya kusaidia mambo hayo !
Lakini ghafla siku ya pili yake alipojojiwa tena kuhusu mambo hayo akaruka mbali sana na kuanza kupindisha pindisha majibu kama vile jana hakuwa yeye !
Baada ya muda mfupi tukasikia Ameshakuwa Mbunge 😳 !
Tuliosomea Cuba tukajua what is what !
Kweli kabisa !Nakubaliana na wewe, ukikubali kusaliti nchi ako lazima ujiunge na wanyonyaji ndiyo hapo tofauti yetu na wazungu ndiyo maana sisi ni masikini wa mali na akili japo tuna rasilimali nyingi haswa
Buzwagi + ?Hivi JK kuna mgodi alikuta haujabinafsishwa?
Tuendeleze mapambanoKweli kabisa !
Buzwagi uko wapi?..kwa katiba ya tz waziri hana lolote mbele ya rais, palikua na ubinafsishaji wa migodi kipindi cha mwinyi?Buzwagi + ?
Collectieve responsibility Alikuwa Waziri kipindi cha Mwinyi kama nakumbuka vizuri na pia Waziri wa mambo ya Nchi za nje wa kipindi cha Mkapa kwa miaka yote Kumi ya Mkapa 😳 !
Katiba ya Chama kimoja na Katiba ya kioindi cha vyama vingi ni vitu viwili tifauti
SIFAHAMU KWA NINI ANAANZA KUWA MAMA WA HOVYO KATIKA NYAKATI HIZI, KAWAIDA UZEE UENDA NA BUSARA BUT WHY VICEVERSA MINDED OLD WOMAN.Profesa na Dr Anna Tibaijuka Mwanamke wa kwanza kuliongoza shirika la Umoja wa Mataifa la makazi UN-HABITAT.
Achana na kuwa Mbunge wa Muleba Mkoani Kagera sijui kuwa Waziri. Huyu alikuwa mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi duniani UN habitat.
Anakuambia si rahisi kupata katiba mpya katika Mazingira ya Amani.
WEWE UNAYEPINGA KATIBA MPYA WEKA WASIFU WAKO HAPA
Sio ubinafsishaji bali kuingia mikataba na makampuni ya nje ya uchimbaji Dhahabu !Buzwagi uko wapi?..kwa katiba ya tz waziri hana lolote mbele ya rais, palikua na ubinafsishaji wa migodi kipindi cha mwinyi?
Duh 🙄 ! 🙄 !katiba mpya na ya zamani zote zinawafaa walio kwenye mirija kuendelea kuinjoi....sie wa chini haitatusaidia chochote......fu*****n kantri, ngozi nyeusi ni ngozi ya taa call......
Asilimia tatu ni ya mkapa, jakaya akapambania iwe 16% na akaiweka kama sheriaSio ubinafsishaji bali kuingia mikataba na makampuni ya nje ya uchimbaji Dhahabu !
Magufuli alisemaga Serikali ilikuwa ikipata asilimia tatu tu ya mapato !