Kumbukizi: Anna Tibaijuka anasema kupata Katiba Mpya katika Mazingira ya Amani - “Mtasubiri sana”

..majibu ya Prof ni ya kijanjajanja.

..Tanzania tumewahi kuandika katiba mpya ktk mazingira ya amani mwaka 1977.

..Vijana walioko sasa hivi wana haki ya kupewa katiba mpya kwa amani bila umwagaji damu.
Mkuu umesema kinachotakiwa kuwa, lakini Prof amesema kilicho kwenye akili ya CCM wenzie. Bahati nzuri uhalisia unajionyesha. Magufuli hakutaka kusikia kabisa kuhusu katiba mpya na Samia pia, wanawaambia watu kwani katiba inaleta maji? Hapo maana yake nini?
 
Nakubaliana na wewe. Yeye anaona CCM haina nia ya kubadilisha chochote bila kulazimishwa. Na hata ukiangalia huyu mama anavyojipigia kampeni kwa kutumia kila nyenzo na fedha alizonazo utagundua kuwa huyu ameshaamini kuwa hakuna wa kumwondoa.
 
Huyu mama tangia yupo UN huwa namkubali na huyu ndo alinishawishi kusoma Sana kuwa prof Kama yeye.

No reform no election.
 
..Mabadiliko kuhusu jinsi viongozi wanavyowajibishwa, na kuchaguliwa.

..Katiba yetu ina mapungufu katika mamlaka iliyowapa wabunge kuisimamia serikali ktk matumizi ya fedha.

..Mazingira hayo yanaruhusu matumizi mabaya na upotevu mkubwa wa fedha za umma, na kurudisha nyuma maendeleo.
Contentious issue ni jinsi ya kuwa pata viongozi wote kwa uchaguzi ulio huru na haki!! Ukiwa na viongozi waliopatikana namna hiyo, wataisimamia serikalini itimize wajibu wake.
 
Profesa na Dr Anna Tibaijuka Mwanamke wa kwanza kuliongoza shirika la Umoja wa Mataifa la makazi UN-HABITAT.

Achana na kuwa Mbunge wa Muleba Mkoani Kagera sijui kuwa Waziri. Huyu alikuwa mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi duniani UN habitat.

Anakuambia si rahisi kupata katiba mpya katika Mazingira ya Amani.

WEWE UNAYEPINGA KATIBA MPYA WEKA WASIFU WAKO HAPA

Alivokua Waziri usingemsikia akiongea hivi
 
Makalio yake,anaona kazeeka anakaribia kung'ata dongo ndo anaamua kupromoti vurugu

Yumkini utatangulia wewe kwenda kaburini kabla ya mh. Anna Tibaijuka. Ninyi wenye roho shetani aghalabu hutangulia ili msiendelee kudhulumu haki za watu.

Ee Mungu wajalie watu wako wanaotaka nchi yetu iondoke kwenye mifumo ya dhuluma, tunaomba umjalie maisha marefu Anna Tibaijuka, mzee wetu Warioba, mzee wetu Shivji, mzee wetu Butiku na wote wenye dhamira njema kwa Taifa letu. Tunaomba uwaangamize kwa wakati ufaao wale wapendao dhuluma katika nchi yetu kama ulivyomwangamiza Goliati na Farao ili waja wako waishi kwa amani ya moyo kama ulivyowaomba.
 
Nani ana roho ya shetani Kati yangu na yeye anayetamani vurugu tz?..unatumia kichwa chako sawasawa!?
 
Profesa na Dr Anna Tibaijuka Mwanamke wa kwanza kuliongoza shirika la Umoja wa Mataifa la makazi UN-HABITAT.

Achana na kuwa Mbunge wa Muleba Mkoani Kagera sijui kuwa Waziri. Huyu alikuwa mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi duniani UN habitat.

Anakuambia si rahisi kupata katiba mpya katika Mazingira ya Amani.

WEWE UNAYEPINGA KATIBA MPYA WEKA WASIFU WAKO HAPA

Ni kweli hapa ni kuandamana tu na kuleta vurugu, CCM si chama cha kutuendeleza Watanzania.
 
..majibu ya Prof ni ya kijanjajanja.

..Tanzania tumewahi kuandika katiba mpya ktk mazingira ya amani mwaka 1977.

..Vijana walioko sasa hivi wana haki ya kupewa katiba mpya kwa amani bila umwagaji damu.
Katiba ya Chama kimoja na Katiba ya kioindi cha vyama vingi ni vitu viwili tifauti
 
Back
Top Bottom