Camcorowamodo
Senior Member
- Sep 12, 2024
- 185
- 163
Labda akili kunya. Rubbish kabisa!!Hizi ndio zinaitwa akili chanya
Labda akili kunya. Rubbish kabisa!!Hizi ndio zinaitwa akili chanya
Tokea dunia ianze, umewahi kusikia popote ulimwenguni waliweza kupata katiba bila hicho alicho pendekeza mama wa pesa ya mboga?Anaona kazeeka anakaribia kung'ata dongo ndo anaamua kupromoti vurugu
Jakaya aliweka 16%? Lini hiyo kaka? Huyo ni Magufuli bwanaAsilimia tatu ni ya mkapa, jakaya akapambania iwe 16% na akaiweka kama sheria
Fuatilia vyanzo vyako,jakaya alileta sheria mpya ya madini 2010,utekelezaji ndiyo ukawa shida, nafikiri alisubiri mikataba iishe,mipya iwe na hicho kiwango,ndiyo maana kuna migodi ilifungwa baada ya mkataba kuishaJakaya aliweka 16%? Lini hiyo kaka? Huyo ni Magufuli bwana
Katiba ya tz ilipatikana kwa vurugu?Tokea dunia ianze, umewahi kusikia popote ulimwenguni waliweza kupata katiba bila hicho alicho pendekeza mama wa pesa ya mboga?
Alikuwa yupo kwenye inclosure hivyo ni vigumu kusema hayo ila kwa sasa keshausoma mchezo ndo anatupatia hintsAlipokua bungeni alikua kimyaa akivuna asali yake taratibu
Hivi huyu mama anamanisha anataka mabadiliko au amekasirika mwanamke mwenzake hajampa teuzi?Profesa na Dr Anna Tibaijuka Mwanamke wa kwanza kuliongoza shirika la Umoja wa Mataifa la makazi UN-HABITAT.
Achana na kuwa Mbunge wa Muleba Mkoani Kagera sijui kuwa Waziri. Huyu alikuwa mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi duniani UN habitat.
Anakuambia si rahisi kupata katiba mpya katika Mazingira ya Amani.
WEWE UNAYEPINGA KATIBA MPYA WEKA WASIFU WAKO HAPA
Magufuli alisema yeye ndiye aliyepambana ndio ikafika hiyo asilimia 16 !Asilimia tatu ni ya mkapa, jakaya akapambania iwe 16% na akaiweka kama sheria
Alisema Mjadala Wakatiba Ya Kenya ulifanyika kwenye Ofisi yake kama Ofisa wa UNProfesa na Dr Anna Tibaijuka Mwanamke wa kwanza kuliongoza shirika la Umoja wa Mataifa la makazi UN-HABITAT.
Achana na kuwa Mbunge wa Muleba Mkoani Kagera sijui kuwa Waziri. Huyu alikuwa mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi duniani UN habitat.
Anakuambia si rahisi kupata katiba mpya katika Mazingira ya Amani.
WEWE UNAYEPINGA KATIBA MPYA WEKA WASIFU WAKO HAPA
Huwa hawashibi na hawatosheki !Hivi huyu mama anamanisha anataka mabadiliko au amekasirika mwanamke mwenzake hajampa teuzi?
Jau sana yaaniAnayo ongea ni sahihi lakini tusiombee tufike huko. Makaburu walibidi wakubali mabadiliko baada yakuona mambo hayaendi tena kila kona nikuviziana ukimuua muafrika wanaululiwa wazungu kumi tena wengine wala si makaburu. Uharibifu wa miundo mbinu uvunjaji washeria ulio pitiliza, ilikuwa kuokota maiti kumi, ishirini mitaani lilikuwa jambo la kawaida. Kenya mauaji yalikuwa maisha ya kawaida watu wameuwawa sana, Na mbaya sana ikifiki,, a hali hiyo vyama vya siasa vinakaa kimya yanakuwa ni makundi yasiyo na viongozi maalumu, Mengine ynakuwa ya Serikali, mengine yanakuwa ya majambazi, mengine yanakuwa ya wanasiasa na mengine yanatokanavmiongoni mwa majeshi yetu. Taifa likifikia hivyo hata hizo mali ambazo mmezichuma mlioko madarakani mnaweza mkazitema. Wakuwapi wakina obote, Idiamini, Mabutu na madikteta wengine yaani mpaka vizazi vyao vimefutika. Najua mpaka sasa nchi yetu ni shwari ila kunaviashiria vya uvunjifu wa amani. Kwa sasa watawala wataona niRaisi kuvinyamazisha kwa Mtutu na vikanyamaza, wakatawala, lakini watawala wajue kutawala kama mseveni au kagame inaitaji moyo sana na umakini wa hali ya juu sana.
Tanganyika ya zama zile sio Tanganyika ya leo iliojaa walafi wa mali na wakosa utu. Zamani kulikuwa na utaifa,umoja na mshikamano...sio kweli.
..Uhuru tulipata bila kumwaga damu.
..katiba zetu zote tukianza na ile ya uhuru tuliandika bila kumwaga damu.
..katiba tuliyonayo sasa hivi, ya mwaka 1977, ilipatikana katika mazingira ya amani.
..Prof.Tibaijuka amepotosha, au yeye mwenyewe amepotoka.
..Katiba mpya inaweza kupatikana kwa amani, na ushahidi ni sisi Watanganyika tulivyopata uhuru, na kuandika katiba zetu.
Mimi nilivyoelewa tamko la Dr. Anna Kajumulo ni Kweli kabisa kuwa kama mnategemea ccm kuachia madaraka iliyohodhi kwa miaka zaidi ya Sitini kwa hiari yao hiyo ni ndoto!!Ni kweli hapa ni kuandamana tu na kuleta vurugu, CCM si chama cha kutuendeleza Watanzania.
Wana haki hio ila sio kwa watawala walafi waliojazana pamoja na machawa wao. Yani wamekaza ubongo to the maximum wakitegemea geshi ra porisi liwasaidie kutawala kimabavu...majibu ya Prof ni ya kijanjajanja.
..Tanzania tumewahi kuandika katiba mpya ktk mazingira ya amani mwaka 1977.
..Vijana walioko sasa hivi wana haki ya kupewa katiba mpya kwa amani bila umwagaji damu.
Hiyo ni nadharia ambayo kwa hali halisi haitakaa itokee. Zamani ilikuwa rahisi sababu ya uzalendo na utaifa ila sahizi kila mtu anaangalia usawa wake...sio kweli.
..Uhuru tulipata kwa amani.
..Katiba mpya ya uhuru iliandikwa ktk mazingira ya amani.
..Katiba mpya ya mwaka 1977 iliandikwa ktk mazingira ya amani.
..Kwanini Ccm haitaki kudumisha historia na utamaduni wa kufanya mabadiliko ya Katiba kwa amani?