gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Fanya kazi,we unataka vipato viwe sawa wakati elimu ni tofauti na juhudi za kufanya kazi ni tofauti!..unataka ajibu awe na kipato sawa na samatta,mondi na dudubaya,ukipata hela kidogo unatapanya kwenye pombe na ngono unataka uwe sawa na muha anayejinyima na kuwekeza!?..acha ujingaBut huo ndo ukweli hata kama sio leo kesho watanzania watakuja kuchapana gape la Mwenye nacho na ambae hana ni kubwa