milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,284
- 8,431
Dr Anna Tibaijuka Mwanamke wa kwanza kuliongoza shirika la Umoja wa Mataifa la makazi UN-HABITAT.
Achana na kuwa Mbunge wa Muleba Mkoani Kagera sijui kuwa Waziri. Huyu alikuwa mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi duniani UN habitat.
Anakuambia si rahisi kupata katiba mpya katika Mazingira ya Amani.
WEWE UNAYEPINGA KATIBA MPYA WEKA WASIFU WAKO HAPA
DOKEZO - Utendaji Mbovu wa Miradi ya Maendeleo: Madai ya Madiwani wa Moshi Manispaa
Mkurugenzi wa Moshi Manispaa amekabiliwa na malalamiko kutoka kwa madiwani wa manispaa hiyo kuhusu utendaji mbovu wa miradi ya maendeleo, hususan ujenzi wa soko la Mbuyuni. Madiwani hao wamewasilisha ombi rasmi kwa uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kitengo cha Civil Engineering...