Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Leo ikiwa ni miaka mitano tangu kufariki kwa Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, alisisitiza kuwa ni kosa kwa kiongozi kudharau mchango wa serikali iliyopita na kuwataka viongozi kuheshimu misingi na mafanikio yaliyotangulia.
"Tuna mabadiliko ya serikali katika nchi za Afrika, wakati mwingine baada ya miaka 10, wakati mwingine baada ya miaka mitano. Lakini mojawapo ya matatizo tunayoona ni kwamba serikali mpya inapokuja hufikiria yote yaliyofanywa na serikali iliyopita hayafai na lazima ianze upya, jambo ambalo haliwezekani."
Mkapa alikuwa Rais kuanzia mwaka 1995 hadi mwaka 2005