KUMBUKIZI | Diamond Platnumz: Ukinifungia nyimbo, mimi hakunipunguzii Kitu, nita-perform Nchi nyingine

Dudu baya ni nani mpaka aopwe na diamond?
Dudubaya ni balozi wa ushoga nchini Tanzania. Alipoenda Dodoma kuonana na Waziri Gwajima alimsimika rasmi cheo hicho.

So, mtu yeyote mwenye vitendo vya kishoga akimsikia Dudubaya lazima agwaye.
 

Diamond aachane na kuja na mentaliti za Bongo Bahati mbaya kama kina Giggy Money n. k

Diamond hana jinsi inabidi amuige Christian Bella ambaye ameamua kuja kivingine kwa viwango vya ki-BASATA kama hapa chini 2026.


CHRISTIAN BELLA AJA KIBASATA 2026

View: https://m.youtube.com/watch?v=FQsTPDyabHY
 
Hao uliowataja, wakiwemo akina J Mo, Sugu, nk walikuwa wanaimba Hipa Hop mkuu.
Hata bob junior alivuma kabla ya dimond.
Raisi wa masharobaro-Raisi wa wasafi,point yangu huyo jamaa mwenye mistari ya matusi sana hawezi kuwa muasisi wa bongo fleva.
 
Ukisoma comments utagundua bado nchi ina watu wajinga sana wasiotaka kabisa kutumia akili zao. Mnapotoshwa na video ya zamani zaidi ya miaka 7 nyuma. Kiukweli bado kuna wajinga wengi mno wa kupigwa na matapeli.
Ndio maana hata chama chenu hakipati tabu kutupiga.
Mnaongoza kwa ridhaa ya wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…