Ally kiba,dully na wengineo waliimba muziki gani?Waliotangulia walikuwa wanaimba hipa hop, akina Sir Nature na wenzake. Diamond ndiye alikuwa wa kwanza kuimba bongofleva mkuu. However, I stand to be corrected.
Dimond huyu huyu aliyem-copy bob junior hadi jina ndio awe muanzilishi wa bongo fleva🤔