KUMBUKIZI | Diamond Platnumz: Ukinifungia nyimbo, mimi hakunipunguzii Kitu, nita-perform Nchi nyingine

Katika hali ya kuonyesha kukata tamaa na kutamaushwa, msanii maarufu na mwanzilishi wa Bongofleva hapa nchini, ndugu Diamond Platinumz, amesikitishwa na kitendo cha BASATA kufungia nyimbo zake kwa kisingizio kuwa hazina maadili. "Kama hazina maadili mbona mashabiki wanazipenda?", ameuliza. Amedokeza kuwa ikiwa hali hii anayokumbana nayo itaendelea, itabidi tu ahame nchi ambapo atakuwa huru kufanya sanaa yake bila bughudha wala kuingiliwa na mtu yeyote.

View attachment 3693005
Diamond amesema hayo huku kukiwa na rundo la tuhuma zinazomuandama, zikiwemo za ushoga na u-freemason. Baadhi ya watu wanashuku kwamba utajiri wake hautokani na muziki pekee bali pia u-freemason. Aidha katika siku za hivi karibuni, Dudubaya amesikika akimhusisha na masuala ya ushoga na utakatishaji fedha, ijapokuwa siku zote amekuwa akikanusha kujihusisha na masuala hayo.

View attachment 3693263
MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono Bwana Diamond. Kama akiona Tanzania hawamuelewi, bora tu ahamie nchi nyingine, isiwe shida. Nabii hakubaliki kwao.
​
Ahame tu sasa hivi haitajiki na mfumo,, ikifika kipindi cha kampeni tutamwita tu.
 
Waliotangulia walikuwa wanaimba hipa hop, akina Sir Nature na wenzake. Diamond ndiye alikuwa wa kwanza kuimba bongofleva mkuu. However, I stand to be corrected.
Ila we jamaa sijui umetokea kijiji gani😀😀mkuu we endelea kusikiliza misondo Ngoma na bakurutu huku utaaibika tu, Yani diamond ndo muanzilishi wa bongo flava alafu unatolea mfano sir nature
 
Ahamie Burundi
 
Keshachuja
 
Mbona kama umetuletea vitu vya zamani?
Mimi mboni nimeona hii ni ya muda sana miaka ya nyuma hata muonekano wake sio wa sasa ni wa zamani sasa hivi anaweka karikiti kichwani na anabeba vipochi vya kike

Halafu hii tabia ya wanaume kubeba vipochi vya kike imekua fashion hata nashangaa, kuna muhuni alikua anaulizwa na mamanzi fulani hilo pochi vipi umeweka nini humo na mwanaume inakuaje unabeba pochi za kike? Akajibu tu juu juu,

eeh nakatisha sehemu kuna muhuni bodaboda akawa anamuita jamaa mwingine oya wee oya wee njoo nje eeh jamaa kutoka kabeba pochi ya kike, nikasema mtumee qumamake na hii nayo ni mboga kumbe, yule muhuni bodaboda ikabidi amchane anamwaambia ..hii tabia yako ya kupenda kubeba pochi zaa kike mwanaume unapoelekea unaenda kufirwa..., eti lijamaa likawa linachekelea kuambiwa hivyo nikasema ..hapana hii ni hasara kwa taifa
 
Ila we jamaa sijui umetokea kijiji gani😀😀mkuu we endelea kusikiliza misondo Ngoma na bakurutu huku utaaibika tu, Yani diamond ndo muanzilishi wa bongo flava alafu unatolea mfano sir nature
Sir Nature alikuwa anaimba Hipa Hop.
 
Waliotangulia walikuwa wanaimba hipa hop, akina Sir Nature na wenzake. Diamond ndiye alikuwa wa kwanza kuimba bongofleva mkuu. However, I stand to be corrected.
kwaiyo kwa mara ya kwanza tumeanza kusikiliza bongo fleva mwaka 2009
 
Mimi mboni nimeona hii ni ya muda sana miaka ya nyuma hata muonekano wake sio wa sasa ni wa zamani sasa hivi anaweka karikiti kichwani na anabeba vipochi vya kike

Halafu hii tabia ya wanaume kubeba vipochi vya kike imekua fashion hata nashangaa, kuna muhuni alikua anaulizwa na mamanzi fulani hilo pochi vipi umeweka nini humo na mwanaume inakuaje unabeba pochi za kike? Akajibu tu juu juu,

eeh nakatisha sehemu kuna muhuni bodaboda akawa anamuita jamaa mwingine oya wee oya wee njoo nje eeh jamaa kutoka kabeba pochi ya kike, nikasema mtumee qumamake na hii nayo ni mboga kumbe, yule muhuni bodaboda ikabidi amchane anamwaambia ..hii tabia yako ya kupenda kubeba pochi zaa kike mwanaume unapoelekea unaenda kufirwa..., eti lijamaa likawa linachekelea kuambiwa hivyo nikasema ..hapana hii ni hasara kwa taifa
Ukiona limwanaume linabeba kipochi, hilo bwabwa tu!
 
Kwa dudu BAYA msimguse coz ndio cream pekee zilizosalia za kuliponya taifa kulinda uanaume ambao upon Kasi kutoweka nchini!!

Cream hii tumebaki wachache sana!!
Mwacheni dudubaya awanyooshe wavaa helenj wa kiume!!
 
Back
Top Bottom