ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
😅😅😅That's my name 😎
😅😅😅That's my name 😎
Kigoma iko wapiMbee! Kwani ni raia wa nchi gani mkuu?
Katika hali ya kuonyesha kukata tamaa na kutamaushwa, msanii maarufu na mwanzilishi wa Bongofleva hapa nchini, ndugu Diamond Platinumz, amesikitishwa na kitendo cha BASATA kufungia nyimbo zake kwa kisingizio kuwa hazina maadili. "Kama hazina maadili mbona mashabiki wanazipenda?", ameuliza. Amedokeza kuwa ikiwa hali hii anayokumbana nayo itaendelea, itabidi tu ahame nchi ambapo atakuwa huru kufanya sanaa yake bila bughudha wala kuingiliwa na mtu yeyote.
View attachment 3693005
Diamond amesema hayo huku kukiwa na rundo la tuhuma zinazomuandama, zikiwemo za ushoga na u-freemason. Baadhi ya watu wanashuku kwamba utajiri wake hautokani na muziki pekee bali pia u-freemason. Aidha katika siku za hivi karibuni, Dudubaya amesikika akimhusisha na masuala ya ushoga na utakatishaji fedha, ijapokuwa siku zote amekuwa akikanusha kujihusisha na masuala hayo.
View attachment 3693263
MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono Bwana Diamond. Kama akiona Tanzania hawamuelewi, bora tu ahamie nchi nyingine, isiwe shida. Nabii hakubaliki kwao.
Nasubiri jibu. Isije ikawa jamaa kichwa chake huwa kina ji update kila baada ya miaka kadhaa mbele 😄Mkuu unatuletea habari ya 2018 au ulikua gerezani ndo umeachiwa huru?
Ngoja tusubiri majibu.Mbona unaleta story za zaman namna hiyo ndugu??
Mkuu mimi naongelea bongofleva sio muziki wa dansiHatuwezi kufa. Kabla hata diamond hajazaliwa tulikuwa na wasanii kibao na waliokonga nyoyo zetu, akina Marijani Rajabu, Mbaraka Mwinshehe, Ubi Ukwe Zawosa, na wengine akina Maalim Gurumo.
Dogo diamond asitake kupima kina cha maji ya bahari kwa dole lake bhana!
Kwani akihama Sisi tuna hasara ganiKatika hali ya kuonyesha kukata tamaa na kutamaushwa, msanii maarufu na mwanzilishi wa Bongofleva hapa nchini, ndugu Diamond Platinumz, amesikitishwa na kitendo cha BASATA kufungia nyimbo zake kwa kisingizio kuwa hazina maadili. "Kama hazina maadili mbona mashabiki wanazipenda?", ameuliza. Amedokeza kuwa ikiwa hali hii anayokumbana nayo itaendelea, itabidi tu ahame nchi ambapo atakuwa huru kufanya sanaa yake bila bughudha wala kuingiliwa na mtu yeyote.
View attachment 3693005
Diamond amesema hayo huku kukiwa na rundo la tuhuma zinazomuandama, zikiwemo za ushoga na u-freemason. Baadhi ya watu wanashuku kwamba utajiri wake hautokani na muziki pekee bali pia u-freemason. Aidha katika siku za hivi karibuni, Dudubaya amesikika akimhusisha na masuala ya ushoga na utakatishaji fedha, ijapokuwa siku zote amekuwa akikanusha kujihusisha na masuala hayo.
View attachment 3693263
MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono Bwana Diamond. Kama akiona Tanzania hawamuelewi, bora tu ahamie nchi nyingine, isiwe shida. Nabii hakubaliki kwao.
Sawa ndio njia yakuelekea kwao iko ukoIko Tanzania mkuu
huko nanjilinji ndo mnavyoambiana diamond ndiye aliyeanzisha bongo fleva!kwakweli hayo maeneo ndo maana yanaongoza kwa kutoa watu wajingaKatika hali ya kuonyesha kukata tamaa na kutamaushwa, msanii maarufu na mwanzilishi wa Bongofleva hapa nchini, ndugu Diamond Platinumz, amesikitishwa na kitendo cha BASATA kufungia nyimbo zake kwa kisingizio kuwa hazina maadili. "Kama hazina maadili mbona mashabiki wanazipenda?", ameuliza. Amedokeza kuwa ikiwa hali hii anayokumbana nayo itaendelea, itabidi tu ahame nchi ambapo atakuwa huru kufanya sanaa yake bila bughudha wala kuingiliwa na mtu yeyote.
View attachment 3693005
Diamond amesema hayo huku kukiwa na rundo la tuhuma zinazomuandama, zikiwemo za ushoga na u-freemason. Baadhi ya watu wanashuku kwamba utajiri wake hautokani na muziki pekee bali pia u-freemason. Aidha katika siku za hivi karibuni, Dudubaya amesikika akimhusisha na masuala ya ushoga na utakatishaji fedha, ijapokuwa siku zote amekuwa akikanusha kujihusisha na masuala hayo.
View attachment 3693263
MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono Bwana Diamond. Kama akiona Tanzania hawamuelewi, bora tu ahamie nchi nyingine, isiwe shida. Nabii hakubaliki kwao.
Mbona makasiriko mkuu? Kwani kama muziki wake ni wa kihuni mbona mashabiki wanauoenda? Punguza roho mbaya mkuu.Wewe jamaa fala kweli Yani likilipu la zamani ndo unatuletea sasa hivi hata kabla hajajenga huko madale😀😀madako yako mleta uzi eti hahame inchi
Waliotangulia walikuwa wanaimba hipa hop, akina Sir Nature na wenzake. Diamond ndiye alikuwa wa kwanza kuimba bongofleva mkuu. However, I stand to be corrected.huko nanjilinji ndo mnavyoambiana diamond ndiye aliyeanzisha bongo fleva!kwakweli hayo maeneo ndo maana yanaongoza kwa kutoa watu wajinga
Akienda Marekani atatoboa ndani ya mwezi tu mkuu. Huku bongo wachawi wengi. Ukigeuka kushoto, unakutana na Dudubaya, ukigeuka kulia, BASATA hawa hapa. Hutoboi hata kidogo mkuu.Aaah ningekuw mamlaka ningemkatia visa ya marekani ili akatoboe vizuri kimuziki
unaumwa nilijua ukiwa verified na platinamu memba unakuwa na akiliBongofleva mkuu