Ukiwa na akili tu UNAELEWA...shida ni upeo mdogo wa watu...
Inawezekana yapo yenye ukweli , lakini nini kimemsukuma..
Lakini why today.... Wakati CAG anaondolewa kinyume na utaratibu , watu wanatekwa ktk awamu ya 5 na mengi ya akiba SABAYA + MAKONDA etc huyu mkereketwa hukuwaona kabisa ...
Anaongea kwa kuzunguka na kusifia vyombo kwa kuwa anadhani vitamlinda...
Fikra yangu ni why TODAY...
Shida ya huu ulimwengu ni ukosefu wa UADILIFU...
Na ukiwa si mtu wa uadilifu lazima utateleza ...