CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Mfano hai kwa hapa jukwaani ni Lucas Mwashambwa na huko bungeni ni kijitu kama msukuma.
NakaziaNipo pamoja na Askofu Gwajima.
Gwajima ni moto wa kuuotea mbali,huyu anafaaa kwanafasi zote
Hivi gwajima hana makanisa mikoani,tuhamie kanisani kwake,tuachane na maaskofu matumbo
Wanasema mtaji ni watu na askofu kaliona hilo anajua chama kumpa baraka apeperushe bendera ni 60/40 sasa afanyajee?. Akaona ni kuwaset pabaya na wamejaa wazima wazima.Gwajima amecheza na akili ndogo ya ccm wenzake, alitaka bunge limjadili.....wakati huu huu ambapo kuna tension kubwa ya utekaji nchini.......
Soma ulichoandika .......... 😀Leo anazungumzia utaratibu wa utengeuzi wa wakuu wa vyombo husika.....unaweza kuona kama ni hoja nzuri..
Lakini uratibu ule ule kwa chombo MUHIMU SANA ( CAG OFFICE) ambacho linadhibiti TRILLIONS... CAG alitoka hadhari na kusema mbona utaratibu umevunjwa..? Sisi wenye fedha zetu palikuwa na unafiki ...
Mbaya sana watu wanaotoka front kwa sura ya symphath ya public ilihali kuna eneo linamsukuma....
Hivi vinchi vidogo vina watu wanasukumwa na materials+ personal interest then wanavaa sura ya ushujaa kwa mabega ya PUBLIC.. na hasa kama wanatokea makundi fulani Bayo ni rahisi kuteka hisia ,kuliko integrity...
Mguu ukikanyagwa utasikia tu sauti ,...
Kila kitu na wakati wake.Muulize Gwajima!Ukiwa na akili tu UNAELEWA...shida ni upeo mdogo wa watu...
Inawezekana yapo yenye ukweli , lakini nini kimemsukuma..
Lakini why today.... Wakati CAG anaondolewa kinyume na utaratibu , watu wanatekwa ktk awamu ya 5 na mengi ya akiba SABAYA + MAKONDA etc huyu mkereketwa hukuwaona kabisa ...
Anaongea kwa kuzunguka na kusifia vyombo kwa kuwa anadhani vitamlinda...
Fikra yangu ni why TODAY...
Shida ya huu ulimwengu ni ukosefu wa UADILIFU...
Na ukiwa si mtu wa uadilifu lazima utateleza ...
Kuna watu walisemea, au ulitaka aseme Gwajima tu?Ukiwa na akili tu UNAELEWA...shida ni upeo mdogo wa watu...