PreGE2025 KUMBUKIZI: Gwajima awajibu Machawa: Silaha ya Wajinga ni Kujipendekeza

PreGE2025 KUMBUKIZI: Gwajima awajibu Machawa: Silaha ya Wajinga ni Kujipendekeza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Aje kiongozi au mtu mashuhuri/ mtaalam aitishe conference aongelee kuhusu Uchumi au mwenendo wa kibajeti,...
Hutaona mjadala waka uchambuzi wala support kwa nini ? Mfumo wetu wa ELIMU..Hauwajengi waTz kujadili ISSUES.....

njoo na issue kama hizi ndipo utagundua mental capacity za kizazi ...
Bunge hadi linaisha , vijana na watu wazima wangapi wanaibua mijadala....
Kuna kipindi mh Zitto Kabwe alikuwa anaitisha conference kujadili Madudu report ya CAG.....
Watu kimyaaaaa....si kwamba wanapenda ila waletee cheap AGENDA.....!!!

Mfumo wa elimu, mfumo wa elimu , mfumo wa elimu.....m
 
Wewe ni kichaa na ni mwehu…elimu ya baba yako..
 
Wanaompinga na kuchukizwa na Gwaji ni Wabunge na Viongozi wengine na sababu inajulikana kutetea matumbo. yao.Kama jana nimemsikia Musukuma sikujua jamaa ni hopeless vile.
Msukuma ni kawaida yake kuharisha. Wala sio mara ya kwanza na ya mwisho kuongea utumbo
 
Fikra yangu ni why TODAY...
Point yako ni ipi haswa!?
Kwamba kwa vile hakuzungumza kipindi cha nyuma hastahili kuongea sasa?

Elewa kwamba kila jambo na wakati wake. Huu ndio wakati wa Gwajima kuzungumza aliyoyazungumza kwa muda wake na mazingira aliyoona ni sawa kwake.
Muhimu: alichofanya kina tija kwa wananchi bila kujali wakati.
 
Lakini why today.... Wakati CAG anaondolewa kinyume na utaratibu , watu wanatekwa ktk awamu ya 5 na mengi ya akiba SABAYA + MAKONDA etc huyu mkereketwa hukuwaona kabisa ...
Awamu ya 5 alisema pia, ndiyo sababu alibambikiwa kesi ya uongo akapelekwa kupimwa mkojo
 
Back
Top Bottom