PreGE2025 KUMBUKIZI: Gwajima awajibu Machawa: Silaha ya Wajinga ni Kujipendekeza

PreGE2025 KUMBUKIZI: Gwajima awajibu Machawa: Silaha ya Wajinga ni Kujipendekeza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ukiwa na akili tu UNAELEWA...shida ni upeo mdogo wa watu...
Inawezekana yapo yenye ukweli , lakini nini kimemsukuma..
Lakini why today.... Wakati CAG anaondolewa kinyume na utaratibu , watu wanatekwa ktk awamu ya 5 na mengi ya akiba SABAYA + MAKONDA etc huyu mkereketwa hukuwaona kabisa ...
Anaongea kwa kuzunguka na kusifia vyombo kwa kuwa anadhani vitamlinda...
Fikra yangu ni why TODAY...
Shida ya huu ulimwengu ni ukosefu wa UADILIFU...
Na ukiwa si mtu wa uadilifu lazima utateleza ...
Wewe ulikuwa hauna Simu
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kupingana na aliyoyasema Askofu Gwajima. Hoja ijibiwe kwa hoja na siyo malumbano, shutuma na lawama.
 
Ukiwa na akili tu UNAELEWA...shida ni upeo mdogo wa watu...
Inawezekana yapo yenye ukweli , lakini nini kimemsukuma..
Lakini why today.... Wakati CAG anaondolewa kinyume na utaratibu , watu wanatekwa ktk awamu ya 5 na mengi ya akiba SABAYA + MAKONDA etc huyu mkereketwa hukuwaona kabisa ...
Anaongea kwa kuzunguka na kusifia vyombo kwa kuwa anadhani vitamlinda...
Fikra yangu ni why TODAY...
Shida ya huu ulimwengu ni ukosefu wa UADILIFU...
Na ukiwa si mtu wa uadilifu lazima utateleza ...
Unaongea kama punguani...punguzeni upunguani watu wanaelewa kinachotokea kenge wazee ninyi😡
 
Aje kiongozi au mtu mashuhuri/ mtaalam aitishe conference aongelee kuhusu Uchumi au mwenendo wa kibajeti,...
Hutaona mjadala waka uchambuzi wala support kwa nini ? Mfumo wetu wa ELIMU..Hauwajengi waTz kujadili ISSUES.....

njoo na issue kama hizi ndipo utagundua mental capacity za kizazi ...
Bunge hadi linaisha , vijana na watu wazima wangapi wanaibua mijadala....
Kuna kipindi mh Zitto Kabwe alikuwa anaitisha conference kujadili Madudu report ya CAG.....
Watu kimyaaaaa....si kwamba wanapenda ila waletee cheap AGENDA.....!!!

Mfumo wa elimu, mfumo wa elimu , mfumo wa elimu.....m
Kabisa mkuu

Na tunapoelekea tunatengeneza bomu kwa vijana wetu.
 
Back
Top Bottom