kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 8,624
- 12,206
Tuseme machawa yamevimba, yanakaribia kupasuka. Acha damu walizonyonya zitoke.
Unaweza ukakaa kimya we boya, maana unaongea pumba mashudu na ujinga, upo nje ya Mada, watu wanaongelea utekaji na upotezwaji wa watu/ uhai wao kukatishwa wewe unaleta usenge usengeAje kiongozi au mtu mashuhuri/ mtaalam aitishe conference aongelee kuhusu Uchumi au mwenendo wa kibajeti,...
Hutaona mjadala waka uchambuzi wala support kwa nini ? Mfumo wetu wa ELIMU..Hauwajengi waTz kujadili ISSUES.....
njoo na issue kama hizi ndipo utagundua mental capacity za kizazi ...
Bunge hadi linaisha , vijana na watu wazima wangapi wanaibua mijadala....
Kuna kipindi mh Zitto Kabwe alikuwa anaitisha conference kujadili Madudu report ya CAG.....
Watu kimyaaaaa....si kwamba wanapenda ila waletee cheap AGENDA.....!!!
Mfumo wa elimu, mfumo wa elimu , mfumo wa elimu.....m
Kiasi kwamba haelewi aelekee kwa masheikh au wachungaji 😁Bashite alikuwa anatembea huku analia pekee yake
Yaani kaja kuongeza mzigo mwingine, kila pande kuzitoHuyu jamaa amekuja muda mwafaka sana
Hivi karibuni kweli hii?
Noma sanaTumekuwa tukisema sana kuhusu hilo,mule ndani asilimia kubwa ni watu kujipendekeza pendekeza
Tu
Ova
Wakina mafufu sjui mangele wao ruksaMiongoni mwa jambo naloliona linakuja very soon, kuita press lazima uwe na kibali
Umezunguka zunguka kila mahala, lakini rangi yako imebaki pale pale.Ukiwa na akili tu UNAELEWA...shida ni upeo mdogo wa watu...
Inawezekana yapo yenye ukweli , lakini nini kimemsukuma..
Lakini why today.... Wakati CAG anaondolewa kinyume na utaratibu , watu wanatekwa ktk awamu ya 5 na mengi ya akiba SABAYA + MAKONDA etc huyu mkereketwa hukuwaona kabisa ...
Anaongea kwa kuzunguka na kusifia vyombo kwa kuwa anadhani vitamlinda...
Fikra yangu ni why TODAY...
Shida ya huu ulimwengu ni ukosefu wa UADILIFU...
Na ukiwa si mtu wa uadilifu lazima utateleza ...
Mkuu unasahau kuwa Askofu Gwajima naye alikuwa muadhirika wa utawala katili wa Magufuli. Je umesahau sakata la kuvamiwa Clouds na hatimaye nape kutishiwa hadharani kwa bastola?? Acha kujizima data!!Ukiwa na akili tu UNAELEWA...shida ni upeo mdogo wa watu...
Inawezekana yapo yenye ukweli , lakini nini kimemsukuma..
Lakini why today.... Wakati CAG anaondolewa kinyume na utaratibu , watu wanatekwa ktk awamu ya 5 na mengi ya akiba SABAYA + MAKONDA etc huyu mkereketwa hukuwaona kabisa ...
Anaongea kwa kuzunguka na kusifia vyombo kwa kuwa anadhani vitamlinda...
Fikra yangu ni why TODAY...
Shida ya huu ulimwengu ni ukosefu wa UADILIFU...
Na ukiwa si mtu wa uadilifu lazima utateleza ...
Mlikuwa mkitumia lugha gani mkuu, kwenye hiyo midahalo yenu?Huyu Mzee alikuwa Kiongozi wa Debate East and Southern Africa miaka yetu... Inter schools debate.