Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Marekani imetoa msaada wa maboza sita ya maji yanayojiendesha yenyewe ya lita 2400 kila moja, kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ambayo yataipa uwezo wa kusukuma na kusambaza maji.
Hii inaiwezesha JWTZ kusambaza maji safi na salama kwa maeneo ya vijijini ambayo hayana huduma ya maji safi, pamoja na uwezo wao wa kukabiliana na majanga ya asili.
Marekani inaendelea kusimama na Tanzania katika kufanikisha malengo yetu ya pamoja ya kiusalama.
Msaada huu ni sehemu ya ahadi ya Marekani ya kuhakikisha kuwa JWTZ linaendelea kulinda usalama wa kikanda na kushiriki katika oparesheni za Umoja wa Mataifa za Ulinzi wa Amani barani kote Afrika.