DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
"Wasanii wengi wanakimbilia chama tawala; wasanii wengi ni waoga. Wasanii wengi hawapendi bughudha; wasanii wengi wanapenda vitu vya mteremko, vitu rahisi rahisi; hawapendi ‘fighting’". Clayton Revocatus Chipando 'Baba Levo', akizungumza katika kipindi cha Salama Na, Julai 26, 2020.Ambaye kwa sasa ni mbunge wa Kigoma Mjini kupitia chama cha mapinduzi CCM.