Kumbukizi: Leo ni siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alivoondoka Dodoma na kuhamia Chato, Geita

Angalau umeona hatari ya gonjwa, lakini serikali ya CCM Mpya na wanaLumumba hawajasema sababu ya Mh. Rais kuamua kujichimbia kwa siku zaidi ya 40 kijijini. Siku serikali ikisema rasmi sababu ya Rais kuhamia kijijini kwake itakuwa vyema.
Nadhani itakuwa mambo ya eda
 
Ni kawaida sana mke kumsifia mmewe. Wakongwe hatushangai bali tunaelewa.
 
Kwahiyo Rais ni mwoga? Vyombo vya ulinzi na usalama vimepwaya mpaka Rais akafichwe? Ficha upumbavu wako dada yangu, unamwaibisha mmeo.
 
Bahati mbaya sana, Mheshimiwa hakutuambia kwanini ghafla aliacha ofisi yake rasmi na kufuta ziara zake zote za kiserikali kisha kuamua kukimbilia kujichimbia kijijini kwake Chato huku akiendesha nchi kwa 'Remote Control'. Kuna kitu hakipo sawa mahali fulani. Asipotuambia sasa, asitulaumu sisi kusema kile tunachokifiria.
 
Vipi kuhusu zile battery tulikuwa tunazigonga na kuzianika juu ya mabati? Sio reachagable zile you know?
Hahahaa wakati ile tekinoloji ya ku lichaji ilikuwa bado kabisa

Jr[emoji769]
 
Du!
 
Kama ni hivyo si angekaa huko huko Chato maisha yote ya utumishi kama Rais? wakati mwingine mnaacha ujinga. Sababu ya kujenga Ikulu ilikua ni nini? Rais akiugua hapo ghafla atapelekwa wapi? au unadhani waluojenga hospitali ya viingozi pale Makumbusho kwenye kambi ya PSU hawakua na akili.

Ujinga ndiyo inawasumbua; kwenda Manila na kufanya majukumu akiwa huko na kua Chato si kote sawa tu.
 
Hahahaa wakati ile tekinoloji ya ku lichaji ilikuwa bado kabisa

Jr[emoji769]
Sasa wakati ule ndio wakati wa mzee baba sasa.... yaani ako nyuma sana na wakati huyu mwajiriwa wetu
 
Tatizo kiongozi unapoteza muda wako bure kujibizana na baamedi...
 
Aliyekwambia akiwa hapo nyumbani kazi haziendi ni nani?.
Ofisi ya rais haiko nyumbani kwake hizo kazi zinaendaje.hii ni kuipa serikali gharama zisizona msingi kwahiyo akitaka kusaini documents,kufanya ziara au kuitisha vikao anafanyia chato? Wageni wa kimataifa ,mabalozii,wawekezaji na wafanyabiashara nao wamfate chato. Hatujawahi kupata rais mapumbavu Kama huyu tangu tupate Uhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…