Kumbukizi: Leo ni siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alivoondoka Dodoma na kuhamia Chato, Geita

Kumbukizi: Leo ni siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alivoondoka Dodoma na kuhamia Chato, Geita

Angalau umeona hatari ya gonjwa, lakini serikali ya CCM Mpya na wanaLumumba hawajasema sababu ya Mh. Rais kuamua kujichimbia kwa siku zaidi ya 40 kijijini. Siku serikali ikisema rasmi sababu ya Rais kuhamia kijijini kwake itakuwa vyema.
Nadhani itakuwa mambo ya eda
 
FYI rais yupo kazini 24/7. Baada ya kumaliza kazi ya mwaka mzima kata kabla ya kikao cha budget imemlazimu kupumnzika na kupanga mkakati wa 2020/21 maana kazi aliyofanya si haba. Anasubiri Bunge liishe aanze kufanya kazi ambayo inategemewa na Watanzania kusafisha waporaji na kuwawezesha Watanzania. Good work and continue to show every Tanzanian how is done.
Ni kawaida sana mke kumsifia mmewe. Wakongwe hatushangai bali tunaelewa.
 
Hii hasira kali dhidi ya Rais kwa kutokuwepo Dodoma imeanza kunipa wasi wasi!! Yawezekana hawa watu walikuwa na mpango wa hatari dhidi ya Rais, na walipoona njama zao zimegonga mwamba ndio sasa wanalalamika kwa nini asiwepp Dodoma!! Walitaka awepo Dodoma ili wamfanyeje? Ni vizuri wakachunguzwa!
Kwahiyo Rais ni mwoga? Vyombo vya ulinzi na usalama vimepwaya mpaka Rais akafichwe? Ficha upumbavu wako dada yangu, unamwaibisha mmeo.
 
Bahati mbaya sana, Mheshimiwa hakutuambia kwanini ghafla aliacha ofisi yake rasmi na kufuta ziara zake zote za kiserikali kisha kuamua kukimbilia kujichimbia kijijini kwake Chato huku akiendesha nchi kwa 'Remote Control'. Kuna kitu hakipo sawa mahali fulani. Asipotuambia sasa, asitulaumu sisi kusema kile tunachokifiria.
 
Vijana wa kazi wanataka Per diem ,ndio maana wanamsumbua mzee, wakikaa dar hakuna ela wanaishi kwa kutegemea mshahara tu, bora wakae chato, sasa wamempeleka kisiwani, nako atakaa huko siku 30, akitoka hapa ataenda kisiwa kingine, halafu ataanza likizo ya kustaafu
Du!
 
Mnahamasisha watu wakae majumbani ila mnataka Rais ajiexpose kwenye hatari, hivi hamnaga Cha maana Cha kuhoji mkaacha siasa za kitoto? Umepungukiwa Nini tangu Magufuli aende Chato- Geita- Tanzania?

Majukumu anayafanya Kama kawaida Bado mnalalamika.

Akae hata mwaka mzima, ilimradi awe salama na anatimiza majukumu yake. Bavicha hamnaga jema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni hivyo si angekaa huko huko Chato maisha yote ya utumishi kama Rais? wakati mwingine mnaacha ujinga. Sababu ya kujenga Ikulu ilikua ni nini? Rais akiugua hapo ghafla atapelekwa wapi? au unadhani waluojenga hospitali ya viingozi pale Makumbusho kwenye kambi ya PSU hawakua na akili.

Ujinga ndiyo inawasumbua; kwenda Manila na kufanya majukumu akiwa huko na kua Chato si kote sawa tu.
 
Hahahaa wakati ile tekinoloji ya ku lichaji ilikuwa bado kabisa

Jr[emoji769]
Sasa wakati ule ndio wakati wa mzee baba sasa.... yaani ako nyuma sana na wakati huyu mwajiriwa wetu
 
Kama ni hivyo si angekaa huko huko Chato maisha yote ya utumishi kama Rais? wakati mwingine mnaacha ujinga. Sababu ya kujenga Ikulu ilikua ni nini? Rais akiugua hapo ghafla atapelekwa wapi? au unadhani waluojenga hospitali ya viingozi pale Makumbusho kwenye kambi ya PSU hawakua na akili.

Ujinga ndiyo inawasumbua; kwenda Manila na kufanya majukumu akiwa huko na kua Chato si kote sawa tu.
Tatizo kiongozi unapoteza muda wako bure kujibizana na baamedi...
 
Aliyekwambia akiwa hapo nyumbani kazi haziendi ni nani?.
Ofisi ya rais haiko nyumbani kwake hizo kazi zinaendaje.hii ni kuipa serikali gharama zisizona msingi kwahiyo akitaka kusaini documents,kufanya ziara au kuitisha vikao anafanyia chato? Wageni wa kimataifa ,mabalozii,wawekezaji na wafanyabiashara nao wamfate chato. Hatujawahi kupata rais mapumbavu Kama huyu tangu tupate Uhuru.
 
Back
Top Bottom