Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Mbona kama naona mzee yuko eda? Au ndo tuseme yuko wapi?Wanaume hawakai eda hubby
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kama naona mzee yuko eda? Au ndo tuseme yuko wapi?Wanaume hawakai eda hubby
Nadhani itakuwa mambo ya edaAngalau umeona hatari ya gonjwa, lakini serikali ya CCM Mpya na wanaLumumba hawajasema sababu ya Mh. Rais kuamua kujichimbia kwa siku zaidi ya 40 kijijini. Siku serikali ikisema rasmi sababu ya Rais kuhamia kijijini kwake itakuwa vyema.
Ni kawaida sana mke kumsifia mmewe. Wakongwe hatushangai bali tunaelewa.FYI rais yupo kazini 24/7. Baada ya kumaliza kazi ya mwaka mzima kata kabla ya kikao cha budget imemlazimu kupumnzika na kupanga mkakati wa 2020/21 maana kazi aliyofanya si haba. Anasubiri Bunge liishe aanze kufanya kazi ambayo inategemewa na Watanzania kusafisha waporaji na kuwawezesha Watanzania. Good work and continue to show every Tanzanian how is done.
Mzee baba hebu fanya yale mambo yako mzee baba awe katoroka korona kama Idd Amin alivyotoroka JWTZKiutani utani mtu unaweza kwenda mahali usirudi... Ukatokomea kabisa huko ujue
Jr[emoji769]
Hao alioenda nao wanalipwa na nani per diem?
Kwahiyo Rais ni mwoga? Vyombo vya ulinzi na usalama vimepwaya mpaka Rais akafichwe? Ficha upumbavu wako dada yangu, unamwaibisha mmeo.Hii hasira kali dhidi ya Rais kwa kutokuwepo Dodoma imeanza kunipa wasi wasi!! Yawezekana hawa watu walikuwa na mpango wa hatari dhidi ya Rais, na walipoona njama zao zimegonga mwamba ndio sasa wanalalamika kwa nini asiwepp Dodoma!! Walitaka awepo Dodoma ili wamfanyeje? Ni vizuri wakachunguzwa!
Ukiona battery iko na wire tambua iko chajiMzee baba hebu fanya yale mambo yako mzee baba awe katoroka korona kama Idd Amin alivyotoroka JWTZ
View attachment 1446954chapa kazi
Vipi kuhusu zile battery tulikuwa tunazigonga na kuzianika juu ya mabati? Sio reachagable zile you know?Ukiona battery iko na wire tambua iko chaji
Jr[emoji769]
Hahahaa wakati ile tekinoloji ya ku lichaji ilikuwa bado kabisaVipi kuhusu zile battery tulikuwa tunazigonga na kuzianika juu ya mabati? Sio reachagable zile you know?
Du!Vijana wa kazi wanataka Per diem ,ndio maana wanamsumbua mzee, wakikaa dar hakuna ela wanaishi kwa kutegemea mshahara tu, bora wakae chato, sasa wamempeleka kisiwani, nako atakaa huko siku 30, akitoka hapa ataenda kisiwa kingine, halafu ataanza likizo ya kustaafu
Kama ni hivyo si angekaa huko huko Chato maisha yote ya utumishi kama Rais? wakati mwingine mnaacha ujinga. Sababu ya kujenga Ikulu ilikua ni nini? Rais akiugua hapo ghafla atapelekwa wapi? au unadhani waluojenga hospitali ya viingozi pale Makumbusho kwenye kambi ya PSU hawakua na akili.Mnahamasisha watu wakae majumbani ila mnataka Rais ajiexpose kwenye hatari, hivi hamnaga Cha maana Cha kuhoji mkaacha siasa za kitoto? Umepungukiwa Nini tangu Magufuli aende Chato- Geita- Tanzania?
Majukumu anayafanya Kama kawaida Bado mnalalamika.
Akae hata mwaka mzima, ilimradi awe salama na anatimiza majukumu yake. Bavicha hamnaga jema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wakati ule ndio wakati wa mzee baba sasa.... yaani ako nyuma sana na wakati huyu mwajiriwa wetuHahahaa wakati ile tekinoloji ya ku lichaji ilikuwa bado kabisa
Jr[emoji769]
Tatizo kiongozi unapoteza muda wako bure kujibizana na baamedi...Kama ni hivyo si angekaa huko huko Chato maisha yote ya utumishi kama Rais? wakati mwingine mnaacha ujinga. Sababu ya kujenga Ikulu ilikua ni nini? Rais akiugua hapo ghafla atapelekwa wapi? au unadhani waluojenga hospitali ya viingozi pale Makumbusho kwenye kambi ya PSU hawakua na akili.
Ujinga ndiyo inawasumbua; kwenda Manila na kufanya majukumu akiwa huko na kua Chato si kote sawa tu.
Basi kama ndivyo aende hata katavi, mtwala, kigoma n.k si nako kuna ikulu ndogo?Kwani Chato si Ikulu pia, nimezaliwa huku nitakufa huku na nitazikwa huku huku Chato.
Ofisi ya rais haiko nyumbani kwake hizo kazi zinaendaje.hii ni kuipa serikali gharama zisizona msingi kwahiyo akitaka kusaini documents,kufanya ziara au kuitisha vikao anafanyia chato? Wageni wa kimataifa ,mabalozii,wawekezaji na wafanyabiashara nao wamfate chato. Hatujawahi kupata rais mapumbavu Kama huyu tangu tupate Uhuru.Aliyekwambia akiwa hapo nyumbani kazi haziendi ni nani?.
Mataga, taga, tagana na tagikana...uzushi ni neno la Kiswahili maana yake jambo lisilo la kweli. Na wewe unafahamu hivyo?Huu uzushi wa ufipa mwisho October
Sacos ya Mbowe mjipange kuishi Bila ruzuku
Huyo MAPHORISA ni raisi wa wapi mkuu?Dunia nzima Trump yupo ikulu, Borris yupo ofisini, Edga lungu yupo ikulu, Kenyata yupo ikulu, museven, maphorisa, wote wnapiga kazi ikulu ila ukitaka kujua mtu muoga njoo tz
Sent using Jamii Forums mobile app