Kumbukizi: Leo ni siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alivoondoka Dodoma na kuhamia Chato, Geita

Unahimiza watu wachape kazi mbona wewe kazi hufanyi?... Kazi zako nyingi tuliona ukipita kufungua na kukagua Miradi ya maendeleo kama, Kupokea Madege,,,Ujenzi wa ma fly over,,ila sasa upo ,Ndani kama mwali wa kizaramo halafu una bwabwaja tu wengine wachape kazi,,,unajionaa wewe ndo mtuu sanaaa,,,,mimi nakuchana banah ,,,, Wewe JPM mwoga tu,,halafu Muongo kinoma,,Haya Endelea kujivundika,,, Una bahati upinzani Hawana candidate potential ,,vinginevyo Ungepata tabu,, Make hata huko chamani kwako hawakupendi ,,,,,,,TANZANIA NI YETU SOTE,,HAKUNA MTANZANIA ZAIDI YA MWINGINE
 
Kwan walimu hawalipwi mshahara?
Nikifa nitazikwa huku
Ova
😤😤😤😤😤😤
SHULE zilitangazwa wazi kua zimefungwa na hatuchapi kazi,,, atangaze na yeye yupo Caranteen,, sio kuwahimiza wengine wangamie wakati yeye kajificha,,,
 
NDO MAANA CCM inakua associated na ujinga,,,hapa hoja ni JAMAA kaji caranteen halafu anahimiza wengine wafe
 
Tafuta bavicha mwenzio mbishane naye!
 
Kiongozi muoga. Empty vessels make the most noise. Leo ndo nimeamini huu msemo. Kule kukaripia viongozi wa chini yake,kuwatukana pumbavu.
Yeye leo Coronavirus imemsepesha.
Heko mama Samia na Majaliwa nyie ndo Askari imara.
Victoire vipi dada? mbona sikuoni mtaani? na weye imekusepesha nini?
 
Nyumbani raha jamani ..mwacheni anajikumbushia enzi za utoto ilivyokuwa ..kwanini mteseke na wakati yupo nyumbani...
Wapinzani, wanafikiri ni ushamba baaada ya kwenda ulaya au marekani na kuchukua hoteli ya nyota 5 nzima, na familia yake na walinzi. Au kwenda Dubai, yeye eti anakwenda Chato!
Wapinzani wanatamani, kama angekuwa ni rais kutoka chama chao basi awe na jumba kubwa uswizi au Dubai, siyo kuendelea kuendekeza kwenda kijijini!
Kupenda kukaa kijijini Chato, wanaona wazungu wataidharau Tanzania! Ndiyo yale yale ya kupinga: CRDB, taa za barabarani, uwanja wa ndege, bandari, vivutio vya utalii kama mbuga za wanyama na hifadhi nyingine kuwa Chato! Mawazo ya wapinzani - kwanini uhangaike kuendeleza shamba badala ya kula bata humo Dubai!?
 
Wamfanyeje kivipi wakati ni nyumbani kwake, kwani Tocha ni nje ya nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi umekuwa kwa asilimia ngapi, je ni zaidi ya watangulizi wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…