Kumbukizi: Leo ni siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alivoondoka Dodoma na kuhamia Chato, Geita

Hii inaitwa work from home(WFH) kipindi hiki Cha corona inaruhusiwa
 
Tulipoteza fedha nyingi kujenga Ikulu. tungejua tungeacha tu hadi atakapokuja Rais mwingine, mweee!
 
Hatukumchagua ili akae nyumbani., wengine wote hawalipwi mshahara kwa kukaa nyumbani.
Nyie bavicha mna Dabo standards sana

Mwenyekiti wenu kaitisha mkutano kwa njia ya video akiwa kibarazani kwake

Ila kwankujivua akili akifanya hivyo ni kosa?

Shame upon u

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matatizo madogo madogo ya kutokupokea simu kutoka kwa marais wenzake!
 
Wapumbavu ni kama wewe wenye kukariri maisha, kwamba rais fulani anaishi kwa kufuata taratibu fulani basi ni lazima mwingine aishi hivyo hivyo.

Badilika kimtazamo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…