Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Basi na mimi ni mfia serikaliUmekosea kidogo,mimi ni mfia upinzani!Yaani hata CCM wakitoka madarakani leo basi nitakuwa begwa kwa begwa nao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi na mimi ni mfia serikaliUmekosea kidogo,mimi ni mfia upinzani!Yaani hata CCM wakitoka madarakani leo basi nitakuwa begwa kwa begwa nao!
Mfia MagufuliBasi na mimi ni mfia serikali
Serikali inayoendeshwa na Rais yoyote yule.Mfia Magufuli
Jinga kabisa,hata upuuzi ukifanyika nyie ndio huwa mnaikingia kifua!Serikali inayoendeshwa na Rais yoyote yule.
Kama upi nilimkingia kifua?Jinga kabisa,hata upuuzi ukifanyika nyie ndio huwa mnaikingia kifua!
So kuna watu wako perfect ndio maana mnawaabudu!Kama upi nilimkingia kifua?
Wewe umeamkaje asubuhi? Kuna jambo lilikuchanganya usiku?😅So kuna watu wako perfect ndio maana mnawaabudu!
Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Anachungulia katikati ya msitu.
Tulipoteza fedha nyingi kujenga Ikulu. tungejua tungeacha tu hadi atakapokuja Rais mwingine, mweee!CHARITY BEGINS AT HOME.
Tofauti na viongozi wengine waliomtangulia, Mwalimu Nyerere hadi Kikwete, Mheshimiwa Rais Magufuli ni mfano wa kuigwa kwa aina ya Viongozi wanaopapenda na kupapendelea sana kwao...
Kwa mfano, leo ni Siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alipoondoka Ofisini kwake Ikulu ya Chamwino, Dodoma na kuhamia nyumbani kwake/Kwao Chato, Geita. Na anapiga kazi tu kama Kawaida tukiacha matatizo madogomadogo ya kulalamikiwa na Viongozi wenzake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, SADC na AU kuwa hapokei simu zao.
Viva Magufuli, Viva Tanzania, Viva Afrika, Viva Chato
View attachment 1446876
Stay home be safe!! kwani working from home imekuwa tatizo?Hatukumchagua ili akae nyumbani., wengine wote hawalipwi mshahara kwa kukaa nyumbani.
Nilifikiri unatuambia ameshazikwa. kumbe bado hai!Kwani Chato si Ikulu pia, nimezaliwa huku nitakufa huku na nitazikwa huku huku Chato.
Ila hata kama we mkazi wa Lumumba ukiangalia hako kamjamaa kwenye majani lazima ucheke kwanza
Nyie bavicha mna Dabo standards sanaHatukumchagua ili akae nyumbani., wengine wote hawalipwi mshahara kwa kukaa nyumbani.
Matatizo madogo madogo ya kutokupokea simu kutoka kwa marais wenzake!CHARITY BEGINS AT HOME.
Tofauti na viongozi wengine waliomtangulia, Mwalimu Nyerere hadi Kikwete, Mheshimiwa Rais Magufuli ni mfano wa kuigwa kwa aina ya Viongozi wanaopapenda na kupapendelea sana kwao...
Kwa mfano, leo ni Siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alipoondoka Ofisini kwake Ikulu ya Chamwino, Dodoma na kuhamia nyumbani kwake/Kwao Chato, Geita. Na anapiga kazi tu kama Kawaida tukiacha matatizo madogomadogo ya kulalamikiwa na Viongozi wenzake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, SADC na AU kuwa hapokei simu zao.
Viva Magufuli, Viva Tanzania, Viva Afrika, Viva Chato
..............................
Update:
Leo ni siku ya 46...tutaendelea kumhesabia
View attachment 1446876
Wapumbavu ni kama wewe wenye kukariri maisha, kwamba rais fulani anaishi kwa kufuata taratibu fulani basi ni lazima mwingine aishi hivyo hivyo.Ofisi ya rais haiko nyumbani kwake hizo kazi zinaendaje.hii ni kuipa serikali gharama zisizona msingi kwahiyo akitaka kusaini documents,kufanya ziara au kuitisha vikao anafanyia chato? Wageni wa kimataifa ,mabalozii,wawekezaji na wafanyabiashara nao wamfate chato. Hatujawahi kupata rais mapumbavu Kama huyu tangu tupate Uhuru.
Putin alikimbiaDunia nzima Trump yupo ikulu, Borris yupo ofisini, Edga lungu yupo ikulu, Kenyata yupo ikulu, museven, maphorisa, wote wnapiga kazi ikulu ila ukitaka kujua mtu muoga njoo tz
Sent using Jamii Forums mobile app