Kumbukizi: Lissu: Tunapomkosoa Mwalimu Nyerere tunathibitisha ubinadamu wake

Kumbukizi: Lissu: Tunapomkosoa Mwalimu Nyerere tunathibitisha ubinadamu wake

Elias Msuya

Platinum Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
267
Reaction score
1,014
Akizungumza katika Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014 jijini Dodoma, Tundu Lissu aliyekuwa Mkuu wa Sheria wa CHADEMA, aliwajibu waliokuwa wakidai kuwa amemtukana Mwalimu Julius Nyerere kuwa kiongozi huyo alikuwa binadamu na alikosea, hivyo kumkosoa ni kuthibitisha ubinadamu wake.

 
Tundu lisu ni mwamba hata wakimuua maneno yake yataishi
Mungu amoongezee maIsha marefu nguli huyu
 
Back
Top Bottom