Enzi hizi siasa ilikuwa safi wakitoka hapo hawawindani hata muziki wana dance wote. Siasa haikuwa vita. Sasa hivi vijana wanatangaza kuua, kushambulia wanaokosoa majukwaaniSalaam Wakuu,
Nimeangalia huu Mtifuano wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Wakili Tundu Lissu na aliyekuwa Spika wa Tanzania Anna Makinda.
Je, Wabunge na Wanasiasa wa kizazi hiki, kuna cha kujifunza?
Hili lilikuwa bunge la kumi Mkutano wa kumi na nane na kikao cha tatu wabishana kuhusu hoja ya dharura
View attachment 3186323