Enzi hizi siasa ilikuwa safi wakitoka hapo hawawindani hata muziki wana dance wote. Siasa haikuwa vita. Sasa hivi vijana wanatangaza kuua, kushambulia wanaokosoa majukwaaniSalaam Wakuu,
Nimeangalia huu Mtifuano wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Wakili Tundu Lissu na aliyekuwa Spika wa Tanzania Anna Makinda.
Je, Wabunge na Wanasiasa wa kizazi hiki, kuna cha kujifunza?
Hili lilikuwa bunge la kumi Mkutano wa kumi na nane na kikao cha tatu wabishana kuhusu hoja ya dharura
View attachment 3186323
Lissu katokea tangu kitambuHawa chawa probably walikuwa wanatoka kamasi darasa la pili kule wakati simba anamuelekeza mama spika! Hawajui historia ya hili jamaa wanaona jepesi tu km kina kibajaji wao, wanachonga tu hapa jf leo hii
Kwa hapa tulipo fikia kama taifa la chura viziwi ipo haja ya TL kuwa Mwenyekiti na yule mr dj mlamba asali awe mshauri wa chama au kama vipi tugawane mbao.
Baada ya mtifuano yakafuata yaliyofuataNimeangalia huu Mtifuano wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Wakili Tundu Lissu na aliyekuwa Spika wa Tanzania Anna Makinda.
Mimi yangu ni hii:Salaam Wakuu,
Nimeangalia huu Mtifuano wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Wakili Tundu Lissu na aliyekuwa Spika wa Tanzania Anna Makinda.
Je, Wabunge na Wanasiasa wa kizazi hiki, kuna cha kujifunza?
Hili lilikuwa bunge la kumi Mkutano wa kumi na nane na kikao cha tatu wabishana kuhusu hoja ya dharura
View attachment 3186323
Sawa sawaKwa hapa tulipo fikia kama taifa la chura viziwi ipo haja ya TL kuwa Mwenyekiti na yule mr dj mlamba asali awe mshauri wa chama au kama vipi tugawane mbao.
HahahaTanzania kwa karne hizi wanaume ni 2 tu,Lissu na Magufuli.
Tuliobaki wote ni takataka,maji fata mkondo.
Hahahahahahahaha🤣🤣🤣🤣sijawahi sema hivyo , labda kwa jokes, but not in a concrete statement. Quote me any such statement!
kuna muda hapa huwa tunaweka mautani..........
Ndio nani Rango?Apoo Rango angeishia kupanick hadii misuli imoke
Ndio maana wanamuogopa kila wakisikiliza simba anaunguruma
.Ndio nani Rango?
Retired Leo kanifurahisha sana🤣🤣🤣🤣Sasa mbona CCM wakiteteana tunasema hawana uzalendo kwa kufichiana maovu?. Kwamba kusema Mbowe kakosea A and B hivyo tumchague Lissu aweze kubadili mambo ndio kukigawa chama? Duh
Ila watu khaa!!! Basi jamani mwacheni.
Huyu mtu ana misumari ya moto sana. Wamuache tu aje atutengezee nchi ya kisheria, mambo yanyooke.Ndio maana wanamuogopa kila wakisikiliza simba anaunguruma
TL ni fagio la wachuma wanafiki wote watajichuja.Retired Leo kanifurahisha sana🤣🤣🤣🤣
Alikua anaomba ushahidi wa maneno ya Lissu, nami nikamuuliza kwa nini hakuleta ushahidi aliposemaga ccm ni wauaji, kwa nini alisema bashite ni muuaji bila kutuwekea ushahidi, kwa nini alisema serikali imempoteza na kumuua Ben saanane. Retired anasema alikua anatania tu, humu huwa Kuna utani Wala nisichukulie serious 🤣
Leo kamanda retired anamsafisha hadi bashite
Lissu akamatie hapo hapo...🤣🤣🤣🤣
Tundu Lissu kabla ya kujadili hoja anaanza kupinga muda aliopewa kujadili hoja 😂😂😂Salaam Wakuu,
Nimeangalia huu Mtifuano wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Wakili Tundu Lissu na aliyekuwa Spika wa Tanzania Anna Makinda.
Je, Wabunge na Wanasiasa wa kizazi hiki, kuna cha kujifunza?
Hili lilikuwa bunge la kumi Mkutano wa kumi na nane na kikao cha tatu wabishana kuhusu hoja ya dharura
View attachment 3186323
Kuna mtu alisema hakuna kazi ngumu kwa sasa kama kusimama upande wa mbowe. Nimeshangaa kumbe retired Yale maneno yote ya bashite ni muuaji, serikali ni wauaji ilikua anatania tu wala sio kweliTL ni fagio la wachuma wanafiki wote watajichuja.
Tatizo tushajijengea mila ya kuwa ukweli usisemwe badala yake ufichweMy problem with Lisu is how he is handling/presenting his demands. Analeta hoja kwa kukigawa chama chake, kukiua , kukipasua vipande viwili!