Kumbukizi: Peugeot 504.. Chuma cha pua. Chombo ya fundi

Pijo, mshua wangu alikuwa nayo hii mpaka around late 90's. Ukijua/ukijifunzia hii gari na Land-rover 109 hakuna gari, ukiacha fiat mbaura na Bedford utashindwa kuendesha. Labda uwe na wenge tuu.
504 kiufundi ilikuwa ahead of time, kulikuwa na matoleo mawili ya engine, Gl na Gr Gl ikiwa ni kubwa na nilikuja na carburetor ya double, Gl yenyewe nilikuja na carb ya kawaida.
Peugeot 504 ndo walianzisha mtindo wa ignition plug juu ya pistons, hadi Leo magari mengi yanatumia mfumo huo ikiwepo Toyota.
Huko ulaya 504 Ina nickname ya the game changer, ni gari ambayo ujio wake ulibadilisha mambo mengi ya kiufundi kwa makampuni ya magari mengine, Zf gearbox manufacturer kwa Mara ya Kwanza anatengeneza autonatic gearbox aliweka kwenye 504,
Binafsi 504 niliyojifunza ilikuwa n model ya mwaka 1977 na kwa miaka hiyo ilikuwa na all round disc brake, kitu amabacho hadi Leo kipo kwenye gari chache sana
 
We bwana wewe.., dah!!, nilikuwa nataka nipate cha asubuhi kwa wife hapa lakini nimecheka hadi dabi imehairishwa 🀣🀣
 
We bwana wewe.., dah!!, nilikuwa nataka nipate cha asubuhi kwa wife hapa lakini nimecheka hadi dabi imehairishwa 🀣🀣
HahahahaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Daah wewe Mshana aisee hii gari ndio gari yangu ya kwanza kununua mwaka 2002 kwa rand 3000 na ndio nilijifunzia hiyo hiyo haina tofauti na ile yangu hii picha daah natamani siku nikiipata iliyonyooka huku SA niinunue niibebe niipeleke home kwa ajili ya makumbusho tu.
Nikauza hiyo nikaja kununua Mercedes-Benz 280 automatic inaunguruma kama kundi lla nyuki linakuja ahsante kwa kunikumbusha mbali sana Cape Town hiyo aisee.
 
Nikauza hiyo nikaja kununua Mercedes-Benz 280 automatic inaunguruma kama kundi lla nyuki linakuja ahsante kwa kunikumbusha mbali sana Cape Town hiyo aisee.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nikauza hiyo nikaja kununua Mercedes-Benz 280 automatic inaunguruma kama kundi lla nyuki linakuja ahsante kwa kunikumbusha mbali sana Cape Town hiyo aisee.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nawatamani sana hao jamaa wanotumia hayo magari ya zamani na wana kundi lao kabisa maana mimi nimeishi sana humo na ipo Ford ranger moja ya blue 2500 pick up inaunguruma kama Simba ilikua ina balaa sana kwenye mwendo..
 
Babu yangu alikuwa anaita Forofoo🀣

Baadae kabisa ndio nikaja kujua kuwa ni 404
 
Kabla ya 504 kulikuwa kitu tulikuwa tunaiita ruler, Peugeot 404. Chuma kilikuwa kigumu kinoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…