Kumbukizi: Peugeot 504.. Chuma cha pua. Chombo ya fundi

Umenikumbushaa mbali.sana,miaka ya 80 ja 90 digi alikuwa nayo,kipindi hiyo njia ya arusha na mamanga,hadi nairobi zilikuwa kuna peugoat hatari,ngomaaa.zina tembea.,..mzee fasion pale namanga,kina mjombaa,msomalii aseee nili enyoe sana safari,St Luleee
 
Umenikumbusha kuna mtu alikuwa anaiita peugeto. Alikuwa hawezi kusema hilo jina kiufasaha. Kweli miaka inakwenda.
 
Nadhani zilikuwepo za namna mbili,kuna zilikuwa flat kule mbele pembeni ya injini na nyingine zina kama kimgongo fulani au kama tuta,kwa juu usawa wa tairi za mbele,hizo zilikuwa nyeupe na nyingine za kijivu.
 
Kama bado unayo niuzie na kupa pesa chaap
 
Arusha - Namanga walitimoa 404 station wagon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…