Kumbukizi: Peugeot 504.. Chuma cha pua. Chombo ya fundi

Baadaye ilikuja 604.
Kabla ya 604 ilikuwepo 505...
604 ya kwanza Tanzania ilimilikiwa na jamaa mmoja hapo Arusha....(somebody Sangiwa)

Na ilipata nafasi ya kuwekwa kwenye postcard miaka ya 80 ikuwa imeegeshwa mbele ya New Safari Hotel
 
Exactly, Arusha - Namanga ndio zilikuwa hizo ingawa mimi nimeziona nikiwa mdg miaka ya 90 mwishoni
 

Nakutafuta mshua ila pm yako umeifunga
 
Hii ilikuwa 404 au 05 zilikuwa very strong na stable
Kulikuwa na Peugeot 404 na 504!
Hiyo hapo ni Peugeot 504 station wagon. Baadae wafaransa wakaleta Peugeot 505 which was not very popular compared to the previous models.
 
Kulikuwa na Peugeot 404 na 504!
Hiyo hapo ni Peugeot 504 station wagon. Baadae wafaransa wakaleta Peugeot 505 which was not very popular compared to the previous models.
👍
 
Hapa sijui anaanza kutengeneza nini sasa😂
 
Vitu vitatu muhimu
Break
Upepo
Starter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…