KUMBUKIZI | Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete: Nilipata nafasi ya kukaa na Rihanna lakini sikupewa picha zangu

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameelezea namna alivyokutana na msanii maarufu duniani, Rihanna. Amesema licha ya kuzungumza naye mambo mengi na kukaa pamoja kwa muda, hakupata picha yoyote akiwa pamoja naye.

Ten Cent,itakua alimaanisha 50 Cent.Angezitaka picha,angezipata,hakutaka tu.
 
Kikwete mshamba sana.

Aliulizwa ni kitu gani anakikumbuka sana katika uongozi wake, akasema concert ya Michael Jackson Spain.

Aliulizwa kwa nini Tanzania ni nchi yenye umasikini, akasema hajui kwa nini Tanzania ni nchi yenye umasikini.

Huyo ni mtu aliyepewa dhamana ya kuongoza mamilioni ya Watanzania.
 
Awashukuru watu wa usalama, mkuu wa nchi unakaa na mtu amevaa nusu uchu mnazungumza alafu unataka mpige picha upewe picha...alafu iweje kwa nchi Yako??. Kama wewe huna akili wapo wachache wenye akili wamekuzunguka watajiongeza tu😛
 
Pia akaongeza " Nilikaa VIP Hadi Leo siamini" nakumbuka mwaka wa mwisho wa Uongozi wake aliwaalika Boys II Men hotel aliyofikia Marekani..huyu Mzee msanii tu
 
Kikwete mshamba sana.

Aliulizwa ni kitu gani anakikumbuka sana katika uongozi wake, akasema concert ya Michael Jackson Spain.

Aliulizwa kwa nini Tanzania ni nchi yenye umasikini, akasema hajui kwa nini Tanzania ni nchi yenye umasikini.

Huyo ni mtu aliyepewa dhamana ya kuongoza mamilioni ya Watanzania.
Mwaka gani huo?
 
Ten Cent,itakua alimaanisha 50 Cent.
Hio ni Code

The 10 cent coin, known as the dime, features the profile of Franklin D. Roosevelt, the 32nd president of the United States.

Nishawahi kukaa nanii 10 Cent yule ... itakua anamzungumzia Franklin D. Roosevelt
 
Awashukuru watu wa usalama, mkuu wa nchi unakaa na mtu amevaa nusu uchu mnazungumza alafu unataka mpige picha upewe picha...alafu iweje kwa nchi Yako??. Kama wewe huna akili wapo wachache wenye akili wamekuzunguka watajiongeza tu😛
🤣🤣
 
Alimuomba Shaquille O'Neill ampe viatu alivyochezea basketball. Shaq akampa na kuvisaini kabisa.
Wakati JK rais wasanii wa bongofleva wengi kama sio wote walikua wanaenda ikulu kama maskani,ngwair Kuna line anasema hizo kata K kashatimba nazo Hadi ikulu Kwa jk..
 
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameelezea namna alivyokutana na msanii maarufu duniani, Rihanna. Amesema licha ya kuzungumza naye mambo mengi na kukaa pamoja kwa muda, hakupata picha yoyote akiwa pamoja naye.

Huyu nyoka mkuu wa taifa mshamba sana!
Aliingia madarakani kwa hila, matumizi makubwa ya rushwa na kuchafua wenzake!
Bado anajiona ana akili sana huyu, bahati nzuri watz wanazidi kumshumtukia.
 
Hata Sasa hivi ni hivyo hivyo tu kina mwijaku siwanaenda sana na kina Steve mangere !?

Wakati wa magu ndio hapakuwa na huo upumbavu
Kwa kikwete ilizidi, kikwete Wakati yupo waziri alikua anapenda kupiga story na friends zake vijiwe vya kahawa,alivyoukwaa urais kijiwe kikahamia ikulu,anawaita wanapiga Soga na mzee wa Msoga..
 
Back
Top Bottom