Bwana Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 4,401
- 9,555
kuna makabila yana watu wajinga sana huu ni ukweli na sio ubaguziJe, ubaguzi wa kikabila ni kitu kibaya?
kuna makabila yana watu wajinga sana huu ni ukweli na sio ubaguziJe, ubaguzi wa kikabila ni kitu kibaya?
Kumbe pamoja madhaifu yake JKN alikuwa mzalendo wa kweli. Hakukubali nchi kuongozwa na waovyo.Kikwete ilikuwa achujue nchi 1995, Nyerere akampigia veto na kwenda na Mkapa.
Mkapa akamuweka Foreign miaka 10 akimtayarisha kuwa rais, maana watu wa Saigon walijiapisha kuwa patachimbika kama Kikwete hajawa rais.
Mwaka 2005 Nyerere hakuwapo kumzuia na Mkapa alishindwa ground game kumpitisha mgombea wake.
Kikwete, aliyejuwa "president in waiting" akawa rais 2005.
Kwani kabila likiwa na watu wajinga hilo maana yake watu wote wa kabila hilo watakuwa wajinga?kuna makabila yana watu wajinga sana huu ni ukweli na sio ubaguzi
Jamaa bwege sanaMtu kaiba matrillion, kawa Rais miaka 10, anazungumzia mambo ya Rihanna? Rihanna si takataka tu mbele yake?
Hao watu wa Saigon wana nguvu eeeh..Kikwete ilikuwa achujue nchi 1995, Nyerere akampigia veto na kwenda na Mkapa.
Mkapa akamuweka Foreign miaka 10 akimtayarisha kuwa rais, maana watu wa Saigon walijiapisha kuwa patachimbika kama Kikwete hajawa rais.
Mwaka 2005 Nyerere hakuwapo kumzuia na Mkapa alishindwa ground game kumpitisha mgombea wake.
Kikwete, aliyejuwa "president in waiting" akawa rais 2005.
Hawa watu wa Kikwete inaonekana walistawi sana kipindi cha AH. Mwinyi.Kikwete ilikuwa achujue nchi 1995, Nyerere akampigia veto na kwenda na Mkapa.
Mkapa akamuweka Foreign miaka 10 akimtayarisha kuwa rais, maana watu wa Saigon walijiapisha kuwa patachimbika kama Kikwete hajawa rais.
Mwaka 2005 Nyerere hakuwapo kumzuia na Mkapa alishindwa ground game kumpitisha mgombea wake.
Kikwete, aliyejuwa "president in waiting" akawa rais 2005.
bahati mbaya mikoa mitatu niyaokuna makabila yana watu wajinga sana huu ni ukweli na sio ubaguzi
Halafu ndio anategemewa kama mshauri wa chamaKikwete mshamba sana.
Aliulizwa ni kitu gani anakikumbuka sana katika uongozi wake, akasema concert ya Michael Jackson Spain.
Aliulizwa kwa nini Tanzania ni nchi yenye umasikini, akasema hajui kwa nini Tanzania ni nchi yenye umasikini.
Huyo ni mtu aliyepewa dhamana ya kuongoza mamilioni ya Watanzania.
NA MUNGU ATAONDOA PUNDEHuyu nyoka mkuu wa taifa mshamba sana!
Aliingia madarakani kwa hila, matumizi makubwa ya rushwa na kuchafua wenzake!
Bado anajiona ana akili sana huyu, bahati nzuri watz wanazidi kumshumtukia.
Mkuu, ukiambiwa hii nchi ina Usalama wa kudeal na Chadema tu uwe unaelewa. Wangekuwa wako serious na mambo serious Kikwete wala asingekuwa Rais.Aisee Kwa macheni napajua tumekesha sana pale kutafuta chudai kabla haijafa
Yaani alikuwa anakesha pale !? So why system ikampa nchi mtu mwenye tabia hizo !?
Chaputa. 😆😂🤣alitaka za kufanyia mastabesheni
US sio bongo
🤣🤣🤣🤣 Kiranga unanichekesha Sana tuTeam Saigon wala chapati kwa mchuzi namba moja golikipa alikuwa Ukiwaona Ditopile Mzuzuri.
Nimekuchekesha nini sasa?🤣🤣🤣🤣 Kiranga unanichekesha Sana tu
ea, hii inaonesha jinsi ulivyo mjingabahati mbaya mikoa mitatu niyao
MOSI,morogoro ,hapa ndipo alipoanzia babu yao mluguru (wakwere ni waluguru)
Pili,alivyofika pwani akaitwa mkwere(ikiwa na mana mgeni)
Tatu,alivyovuruga pwani,akahamia bandarisalama(daresalaam)
Hao ni walewale ,Peter kibatala pekee ndo anajitambua ,pamoja kabla ya urais alikuwa waziri mambo ya nje ,hailewi US klla kitu ni biashara kwa wanamzki
bila ya Bara ndiyo yanawatu wanaojielewa? Labda kama umeishia hapo hapo kwenu kishimundu kwa maana hauna exposure jaribu kutembea Tanzania mzima uondoe ujinga wako huokuna makabila yana watu wajinga sana huu ni ukweli na sio ubaguzi
Wewe mzaramo?Maka
bila ya Bara ndiyo yanawatu wanaojielewa? Labda kama umeishia hapo hapo kwenu kishimundu kwa maana hauna exposure jaribu kutembea Tanzania mzima uondoe ujinga wako huo