KUMBUKIZI | Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete: Nilipata nafasi ya kukaa na Rihanna lakini sikupewa picha zangu

Kikwete mshamba sana.

Aliulizwa ni kitu gani anakikumbuka sana katika uongozi wake, akasema concert ya Michael Jackson Spain.

Aliulizwa kwa nini Tanzania ni nchi yenye umasikini, akasema hajui kwa nini Tanzania ni nchi yenye umasikini.

Huyo ni mtu aliyepewa dhamana ya kuongoza mamilioni ya Watanzania.
Bwege sana huyu jamaa.Ndio maana sio mshauri wa chochote kizuri mambo yake ni hovyo hovyo tu.
 
Kikwete mshamba sana.

Aliulizwa ni kitu gani anakikumbuka sana katika uongozi wake, akasema concert ya Michael Jackson Spain.

Aliulizwa kwa nini Tanzania ni nchi yenye umasikini, akasema hajui kwa nini Tanzania ni nchi yenye umasikini.

Huyo ni mtu aliyepewa dhamana ya kuongoza mamilioni ya Watanzania.
Ahahahahah daaah we jamaa unataka kusemaje kuhusu rais wetu
 
Kikwete alivyokuwa Waziri wa Mambo ya Nje alitaka kusababisha mzozo wa kimataifa na Uganda kwa sababu alimmendea na kumla Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda.
 
🤣🤣🤣🤣😁😁😁 Jamaa kama mnamsingizia hvi..
Naonaga interview zake yule mwamba yupo.humble sana sana
 
Kula life wakati mamilioni ya watu wanakuchukia hakuna raha.

Labda kama mtu kajitoa akili, kitu ambacho Kikwete anaweza kwa sababu yeye hata hahitaji kujitoa akili. Kwa sababu hana akili.
Mmmh mkuu katika rais anapendwa kikwete yupo top 3
Sijaelewa wwew unazungumziaje hapo
 
Inategemea unazungumza na nani.

Latika wambwela mbwela wenzake Kikwete anapendwa sana. Kwa sababu alijua kuongea na kuchekacheka nao. Hawa ni watu wasiojua lolote wana standards ndogo sana, mtu akichekacheka tu washampenda.

Na hawa Tanzania wako wengi tu.

Lakini kwa wasomi proper wanaoelewa mifumo ya nchi watakueleza jinsi Kikwete alivyoharibu nchi. Hawa hawampendi kabisa Kikwete.
 
Duuuh hatareee sana aiseeee...
Kuna interview yake yupo na salama jabir akielezea harakati zake mpaka kuwa rais huyu mtu kapambana sana sana aisee.
 
Zile ni for public consumption huyo tunamjua alivyotolewa baru na Sinare Monduli akapitia msituni mpaka Arusha.

Hizo za ndani hawezi kusema.
 
Kikwete ilikuwa achujue nchi 1995, Nyerere akampigia veto na kwenda na Mkapa.

Mkapa akamuweka Foreign miaka 10 akimtayarisha kuwa rais, maana watu wa Saigon walijiapisha kuwa patachimbika kama Kikwete hajawa rais.

Mwaka 2005 Nyerere hakuwapo kumzuia na Mkapa alishindwa ground game kumpitisha mgombea wake.

Kikwete, aliyejuwa "president in waiting" akawa rais 2005.
Mgombea wa mkapa alikuwa yupi?
 
Mgombea wa mkapa alikuwa yupi?
Originally Mkapa alikuwa anamuandaa Dr. Omar Ali Juma.

Kuna siku nilikuwa ninekaa na mtoto wa kwa Mkapa, akaniambia "Unamuina huyu Dr. Omar huyu, atakuja kuwa rais".

Lakini Dr. Omar aliharibu sana mauaji ya Zanzibar na baadaye akafariki.

Kwenye uchaguzi Mkapa alimpigania sana Abdallah Kigoda lakini Kigoda hakutoboa.

Akaendeleza ule utamaduni wa Tanzania kuwa a sitting president doesn't get the successor he wants.

Nyerere hakumpata Salim.

Hivi Mwinyi alimtaka nani? Certainly not Mkapa.

Mkapa hakumpata Dr. Omar Ali Juma.

Kikwete hakumpata Membe.

Magufuli ndiyo hata hakumaliza urais wake.
 
dah sema hapo kwa salim ndiyo kwenye maumivu hadi leo, shukrani kwa taarifa mkuu.
 
Sorry, mkuu ulitaka akukule wewe? Mbna kama una wivu na jk?
Wewe umefubazwa akili kwa elimu ya kibongo huwezi kuelewa hoja niliyoiweka hapo imezidi kiwango chako cha kufikiri cha guluguja asiye na ubongo wala uti wa mgongo.

Mimi naongelea an international diplomatic crisis kwa sababu mtu kashindwa basic biological control, wewe huwezi kuona hiyo hoja.

Unakuja na habari zenu za kijingajinga za wivu, ad hominem logical fallacy.

Huwezi kuona hoja.

Hii kazi unayonioa ni kama kumfundisha guluguja string theory.

Hii kazi siwezi kuingia mtego wa kuifanya.
 
Kwani ni kosa kikatiba? Wapi katiba imesema ni kosa? Sheria zipi za kimataifa zinasema alichofany ni kosa kisheria???

Otherwise, una wivu wako tu... Unatamani huyo waziri wa uganda ungekuwa wewe
 
Back
Top Bottom