Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Kikwete ilikuwa achukue nchi 1995, Nyerere akampigia veto na kwenda na Mkapa.Aisee Kwa macheni napajua tumekesha sana pale kutafuta chudai kabla haijafa
Yaani alikuwa anakesha pale !? So why system ikampa nchi mtu mwenye tabia hizo !?
Mkapa akamuweka Foreign miaka 10 akimtayarisha kuwa rais, maana watu wa Saigon walijiapisha kuwa patachimbika kama Kikwete hajawa rais.
Mwaka 2005 Nyerere hakuwapo kumzuia na Mkapa alishindwa ground game kumpitisha mgombea wake.
Kikwete, aliyejuwa "president in waiting" akawa rais 2005.