KUMBUKIZI | Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete: Nilipata nafasi ya kukaa na Rihanna lakini sikupewa picha zangu

Kikwete mshamba sana.

Aliulizwa ni kitu gani anakikumbuka sana katika uongozi wake, akasema concert ya Michael Jackson Spain.

Aliulizwa kwa nini Tanzania ni nchi yenye umasikini, akasema hajui kwa nini Tanzania ni nchi yenye umasikini.

Huyo ni mtu aliyepewa dhamana ya kuongoza mamilioni ya Watanzania.

Katika makosa amvayo nchi hii imefanya tangu Uhuru mojawapo ni kumpa nafasi Kikwete kuongoza Tanzania. Hapo huwa namlaumu sana Mkapa.
 
Mkapa analaumiwa kwa kumruhusu Kikwete kuwa rais, alipotulazimishia rais aliyemtaka yeye Magufuli napo analaumiwa kwa kutupa Magufuli.

Watanzania msitafute mchawi Kikwete mmemchagua wengi tu.

Mngemkataa wote asingeweza kuwa rais hata kwa kuiba kura.
 
Hata Sasa hivi ni hivyo hivyo tu kina mwijaku siwanaenda sana na kina Steve mangere !?

Wakati wa magu ndio hapakuwa na huo upumbavu
Magu aliwatolea wazee nje kule Bukoba alipofika mara ya kwanza wakati wa uongozi wake; alikuwa Kikwete aliwazoesha akifika baada ya mkutano wa adhara wanafika kwake ikulu ndogo kupiga umbeya na ng'ombe juu imechinjwa.
Magu akwaambia sasa ni usiku hataki mazoea wakafanye kazi.
 
Kikwete mshamba sana.

Aliulizwa ni kitu gani anakikumbuka sana katika uongozi wake, akasema concert ya Michael Jackson Spain.

Aliulizwa kwa nini Tanzania ni nchi yenye umasikini, akasema hajui kwa nini Tanzania ni nchi yenye umasikini.

Huyo ni mtu aliyepewa dhamana ya kuongoza mamilioni ya Watanzania.
Sasa imagine ya Kizimkazi yatakuaje kama Boss wake ndiye ana majibu haya!
 
Awashukuru watu wa usalama, mkuu wa nchi unakaa na mtu amevaa nusu uchu mnazungumza alafu unataka mpige picha upewe picha...alafu iweje kwa nchi Yako??. Kama wewe huna akili wapo wachache wenye akili wamekuzunguka watajiongeza tu😛
Majuzi nikitafuta ile picha aliyokuwa anabembea sikuipata yaelekea YouTube waliitoa! Kwa watoto wa 2000 JK alioiga picha akilbembea Ughaibuni!
 
Kikwete mshamba sana.

Aliulizwa ni kitu gani anakikumbuka sana katika uongozi wake, akasema concert ya Michael Jackson Spain.

Aliulizwa kwa nini Tanzania ni nchi yenye umasikini, akasema hajui kwa nini Tanzania ni nchi yenye umasikini.

Huyo ni mtu aliyepewa dhamana ya kuongoza mamilioni ya Watanzania.
Na bado anaongoza mpaka sasa
 
Atajibu nini..?
Saivi anaogelea.kwenye utajiri wa kutisha uliopatikana kwa zulma, ufisadi, na damu
 
Kikwete mshamba sana.

Aliulizwa ni kitu gani anakikumbuka sana katika uongozi wake, akasema concert ya Michael Jackson Spain.

Aliulizwa kwa nini Tanzania ni nchi yenye umasikini, akasema hajui kwa nini Tanzania ni nchi yenye umasikini.

Huyo ni mtu aliyepewa dhamana ya kuongoza mamilioni ya Watanzania.
Na ndiye aliyetuchagulia aliyepo.
 
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameelezea namna alivyokutana na msanii maarufu duniani, Rihanna. Amesema licha ya kuzungumza naye mambo mengi na kukaa pamoja kwa muda, hakupata picha yoyote akiwa pamoja naye.

Kumbe kekweti ni mjinga wa kiasi hiki. Raisi wa nchi anaona fahari kupiga picha na mwanamziki? Kweli Tanzania tuna bahati mbaya ya kuwa na marisi wapuuzi.
 
Kikwete ilikuwa achujue nchi 1995, Nyerere akampigia veto na kwenda na Mkapa.

Mkapa akamuweka Foreign miaka 10 akimtayarisha kuwa rais, maana watu wa Saigon walijiapisha kuwa patachimbika kama Kikwete hajawa rais.

Mwaka 2005 Nyerere hakuwapo kumzuia na Mkapa alishindwa ground game kumpitisha mgombea wake.

Kikwete, aliyejuwa "president in waiting" akawa rais 2005.
Nyerere aliona mbali yule Mzee ( RIP)
 
Mkapa analaumiwa kwa kumruhusu Kikwete kuwa rais, alipotulazimishia rais aliyemtaka yeye Magufuli napo analaumiwa kwa kutupa Magufuli.

Watanzania msitafute mchawi Kikwete mmemchagua wengi tu.

Mngemkataa wote asingeweza kuwa rais hata kwa kuiba kura.
Hapa umefeli mkuu, Tanzania haijawahi kuwa na uchaguzi huru unasahau mambo wayafanyayo tume ya uchaguzi wakishurikiana na CCM
 
Kikwete alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa kwanza anayekesha baa regularly.

Tena baa yenyewe si baa tu, Magomeni kwa Macheni baa ya mabalaa yote.
Hata mwanza alikuwa anakuja sana kula bata kwenye bar akiwa waziri wa nje.

Jamaa mmoja akaniambia walionana nae akiwa kwenye casino sema smart zilikuwepo kwa uchache sana ingelikuwa ni kama leo hii ni aibu tupu
 
Hapa umefeli mkuu, Tanzania haijawahi kuwa na uchaguzi huru unasahau mambo wayafanyayo tume ya uchaguzi wakishurikiana na CCM

Sasa Tanzania isiyo na uchaguzi huru nani kairuhusu iwepo?

Umefeli wewe uliyeruhusu nchi yako isiwe na uchaguzi huru.

Mimi nilipiga kura kwa miguu yangu kukataa ujinga huo.
 
Kikwete mshamba sana.

Aliulizwa ni kitu gani anakikumbuka sana katika uongozi wake, akasema concert ya Michael Jackson Spain.

Aliulizwa kwa nini Tanzania ni nchi yenye umasikini, akasema hajui kwa nini Tanzania ni nchi yenye umasikini.

Huyo ni mtu aliyepewa dhamana ya kuongoza mamilioni ya Watanzania.

Aliulizwa kwa nini Tanzania ni nchi yenye umasikini, akasema hajui kwa nini Tanzania ni nchi yenye umasikini.

(Hii kauli hadi kesho inajirudia kichwani mwangu najiuliza
Inakuaje au ilikuaje

Africa uongozi ni shida kubwa sana tena sana ...
 
Back
Top Bottom