Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Gazeti la Mwafrika mwaka 1958, Oktoba 11 liliandika "WAMEFUKUZWA KATIKA TANU NA MKUTANO MKUU WA MWAKA"
Gazeti hilo liliandika
Mkutano mkuu wa TANU umemfukuza katika chama Sh. Sulemani Takadiri wa Dar es Salaam, ambaye alijaribu kuingiza chuki ya dini katika siasa siku chache zilizopita.
Wengine sita wamefukuzwa kwa ajili ya kuipinga TANU katika uchaguzi uliopita.
Gazeti hilo linawataja watu hao akiwemo:
Patrick Kunambi wa Morogoro
Dr. W.B.K Mwanjisi wa Tukuyu
Sk George wa Moshi
M. K. Simon wa Moshi ambaye mpaka alipofukuzwa alikuwa katibu sa TANU Jimbo la Kaskazini