Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
👍👌👏🤝🙏Hii si bahati mbaya.
Nchi yetu ina mfumo wa ku promote chawa.
Hivyo, watu serious hawawezi kutoboa katika mfumo huo.
Ndivyo mfumo ulivyo, si bahati mbaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👍👌👏🤝🙏Hii si bahati mbaya.
Nchi yetu ina mfumo wa ku promote chawa.
Hivyo, watu serious hawawezi kutoboa katika mfumo huo.
Ndivyo mfumo ulivyo, si bahati mbaya.
Bila lowasa sekondari Za kata he?Hakuna aliyefanya cha maana tangu tupate uhuru
Toka tumepata uhuru kuna kipi cha maana chini ya utawala upi tumekifanya? Wakoloni mfano walijenga shule kubwa na nzuri ambazo sisi kwa karne hii nyingine tumezigeuza vyuo vikuu wakati ni shule za sekondari.Kama uchumi mzuri ni wetu kuiba mali za umma ,kama uchumi mzuri ni watawala kutumia watoto wao ,wake zao kutorosha madini ,kupendelea watoto wao na marafiki zao. Kuuza ardhi ya umma kama yule aliyeuza ardhi yote ya Mkonge kwa familia ya kina Mohamed wakati ina mashine ,mkonge ,maofisi na nyumba zaidi ya elfu mia tano kwa bei ya nyumba moja tu . Kama uchumi mzuri ni kuwapa wageni kila kitu kwa bei nafuu halafu wananchi wazawa wanapandishwa kodi kila siku .
Kama uchumi mzuri ni kufanya biashara za magendo na ujambazi kama wetu wa mikoa ya mipakani walivyokua wanafanya halafu wanakwepa kodi na kupitisha mageni . Kama hayo ndio uchumi mzuri basi Hili nchi ilipaswa itawaliwe kwa karne moja mbele maana ina watu wahuni na wasioweza kujiongoza zaidi ya kuishi kama wanayama wa porini ,mwenye nguvu ndiye anayekula.
Sokoine ni tunu tuliyopewa na Mungu kuleta mapinduzi makubwa ya kujenga uzalendo.
Hii nchi ina rasilimali nyingi sana lakini wezi wamefanikiwa kuweka watu wao madarakani tangu walipomuua Karume kule Zanzibar na Sokoine bara.
Mpaka sasa wezi wamefanikiwa kuua uzalendo kwenye nchi hii kwa ubinafsi wa watawala kuua moyo wa kizalendo na sasa watanzania wanakua omba omba kwa watawala wanaowaibia mali zote na kuwaridhisha watoto wao na marafiki zao .
Sokoine hakujimilikisha mali za umma wala Nyerere . Hakupendelea watoto wake na Wake zake kama wanavyofanya wengine .
Kuna watu wameshika kiti miaka mitatu tu ni latrionea wa kutupa na sasa wanafanya kila mbinu kubaki madarakani . Hawa ni jamii ya P Diddy na ndio wanaosifia majizi na kuwatukana watu wema kwa sababu tu ya rushwa ya pesa na uchawa
Zina maana gani zaidi ya kuzalisha wajinga wengi, bora wasomi wachache lakini wanaojitambua. Mtu anamaliza form four hata kujieleza tu hawezi.Bila lowasa sekondari Za kata he?
Apo mkuu ni Noma Ila ipo siku elimu itakua poaZina maana gani zaidi ya kuzalisha wajinga wengi, bora wasomi wachache lakini wanaojitambua. Mtu anamaliza form four hata kujieleza tu hawezi.
Sidhani mkuu, labda kwa muujiza, angalia hata wanaomaliza vyuo vikuu walivyo watupu. Nenda Kenya, hakuna elimu ya bure, lazima utoe pesa ili ikuume na upate elimu yenye tijaApo mkuu ni Noma Ila ipo siku elimu itakua poa
Hhh mkuu unakatisha tamaa..Shule YouTubeSidhani mkuu, labda kwa muujiza, angalia hata wanaomaliza vyuo vikuu walivyo watupu. Nenda Kenya, hakuna elimu ya bure, lazima utoe pesa ili ikuume na upate elimu yenye tija
Hapana mkuu, mim nasema ukweli tu. Japo ukiangalia juu juu unaweza ona ni jambo la maana lakini tumeua elimu yetu kwa mambo ya kisiasa. Weka shule chache zenye tija na walimu wa kueleweka. Shule ya kata walimu wa Voda fast( crushing program) kama wakumbukaHhh mkuu unakatisha tamaa..Shule YouTube
Angalia mkuu toka tumepata uhuru tumeshindwa kujenga hata shule moja tu yenye hadhi kama ya Tabora boys/girls, Mzumbe, Mkawa na the likesHhh mkuu unakatisha tamaa..Shule YouTube
Huyu ni kichaa mwenye simu ya android asamehewe.Uchumi uliporomoshwa na vita vya Kagera. Tulioshiriki vita vile runajua mengi acha kabisa. Kutoka Kagera hadi mpaka wa Sudan kwa Mguu huku tukisafisha vichaka. lshia hapo hapo dogo.
Tulikuwa wazalendo wa kweli.
Sekondari za kata ndiyo nini? tunataka maendeleo ya kweli, watoto wake wamesoma sekondari za kata?Bila lowasa sekondari Za kata he?
Mkuu yawezekana wewe ni 'mtoto wa 2000' kwa namna ya uandishi wako na ulivyoelezea jambo hilo kinafiki.Uwaziri Mkuu wa Sokoine ulikuwa wa hovyo kuliko mawaziri wakuu wote tangu nchi ipate uhuru mpaka sasa.
Ni yeye, kama alivyosema Mzee Warioba, aliasisi sheria za hovyo kabisa, hovyo kabisa ambazo zilikiuka haki za binadamu. Utesaji mkubwa ulifanyika na yeye akiwa anangalia.
Upande wa uchumi, mali za watu ziliporwa, watu wakafilisiwa, biashara zilikufa nchi nzima. Hakika yeye ndiye kiini cha uharibifubwa uchumi wa nchi, badala ya kuujenga. Imagine nchi inatoka vitani, halafu ikawa chini ya Sokoine. Yeye akiona duka, anamkamata mwenye duka na kutaifisha bidhaa. Watu wakamwaga sukari katika mito na bahari, watu wakatupa hela maporini. Ulikuwa uongozi wa hovyo kabisa kuwahi kushuhudiwa, mbali na ule wa JPM.
Sioni chochote cha kujivunia kutoka kwake. Urathi wake umeandikwa na Salva Rweyemamu, sikutarajia afanye critical analysis ya uongozi wake zaidi ya kupuliza maumivu waoiyopitia watanzania.
Hii project ya uongozi Institute ni kama iko structured na iko scripted. Tunasubiri urathi ambao utamjadili Sokoine kwa uhalisia wake.
Wewe ndiye jangili haswaa. Unashinda mtandaoni ili uvune mahindi usolima.Mgekuwa wazalendo msingeruhusu katiba ya kijinga kama hii ambayo imeruhusu mfumo kujaa majangili tupu
Nchi Ina utajiri wa Mashujaa mitandaoni, kulalamika na kukosoa kazi rahisi Sana.Mbwa nyie toka Sokoine afe ni miaka 40 sasa,hakuna mlichoweza kugeuza?
Iko siku kwa kushindwa kumzalisha mkeo utasema sababu ni Sokoine
Nchi ina kila kitu lakini haisongi,wewe unaisaidiaje nchi yako? zaidi ni kushinda mtandaoni kulaumu kina marehemu, Sokoine alienda na nchi kaburini?
Hii Ni kweli, kukawa na kipindi Cha mikingamo redio Tanzania. Ila Ni waziri mkuu aliyependwa kuliko wote. Warioba ndiye aliyekuwa waziri wa sheria na mwanasheria mkuu wa Serikali, alichukua jukumu gani kwa sheria zile? Angejiuzulu ningemwelewaKipindi anafanya hayo yote,Mwalimu alichukua hatua gani? Kulinda uchumi wa nchi ?
Nina Mzee Mtaani hapa ana sema yeye ndio walikua Front line, ktk vita, baada ya vita Nyerere aka waambia sina cha kuwalipaUchumi uliporomoshwa na vita vya Kagera. Tulioshiriki vita vile tunajua mengi acha kabisa. Kutoka Kagera hadi mpaka wa Sudan kwa Mguu huku tukisafisha vichaka. lshia hapo hapo dogo.
Tulikuwa wazalendo wa kweli.
Ni upuuzi tupu.Uchumi uliporomoshwa na vita vya Kagera. Tulioshiriki vita vile tunajua mengi acha kabisa. Kutoka Kagera hadi mpaka wa Sudan kwa Mguu huku tukisafisha vichaka. lshia hapo hapo dogo.
Tulikuwa wazalendo wa kweli.
Mtoto wa 2000 bila shakaNi upuuzi tupu.
Kwani kulikuwa na ULAZIMA gani kwa Tanzania katika kupigana vita hiyo?? Nchi ilinufaika na Nini au ilipata faida gani kutokana na vita hiyo?
Aliyewahi kuwa Rais wa Marekani Bw.