Kumbukizi: Sokoine ndiye alibomoa uchumi wa nchi, na utawala wa sheria. Sioni chochote cha kumsifu, urathi wake uandikwe upya

Sokoine alikuwa ni mpumbavu mbwa
Yaani typical nyani mweusi linaetumia akili ya chooni kwenye masuala ya mustakabali wa nchi, mpaka Nyerere akaona bora amzimishe tu .
Kama utawala wa kisheria ukifuatwa per se katika hili taifa basi barabara nyingi zitabakia nyeupe kwa namna gari za anasa zitakavyopuputika.

Matajiri wengi wa nchi hii ni wanasiasa na wafanyabiashara wakwepaji kodi.
 
Sokoine alikuwa hapendi Rushwa, biashara za magendo, uhujumu uchumi na vitendo viovu vinavyoludisha nyuma maendeleo ya nchi na watu wake Kwa ujumla. Hivyo tuhuma ulizozitoa juu ya sokoine inaonyesha wazi wewe ni Moja ya familia zilizokuwa zinafanya mambo maovu niliyoyataja na alizishughulikia na kuzinyoosha

.
 
kumbuka kuwa tunatofautiana mawazo na mitazamo unavyoona wewe ni tofauti na aonavyo mwingine, muhimu ni kuheshimu hizi tofauti zetu za kibinadamu.
 
Una uhakika? Yaani UDOM inengwe hiyo secondary ndio uone ni big issue
Kuna kingine zaidi ya UDOM? Mbona wakolon walijenga UDSM na bado wakajenga shule kibao za maana. Sasa sisi baada ya UDOM tumejenga nini tena kwa upande wa shule na vyuo?
 
Kuna kingine zaidi ya UDOM? Mbona wakolon walijenga UDSM na bado wakajenga shule kibao za maana. Sasa sisi baada ya UDOM tumejenga nini tena kwa upande wa shule na vyuo?
UDSM imejengwa baada ya uhuru, fuatilia mambo ya nchi, mko bize na mambo ya Pdiddy na Mdude
 
Kipindi Cha sokoine ilikuwa ukipata fedha nyingi unafatwa na wasiojulikana unaulizwa umezipata wapi Hela zote hizo?matajiri waliambiwa utajili wao wagawane na wananchi masikini.pamoja na kwamba utawala wa kipindi hicho kuwa na mapungufu lakini huu wa kizimkazi ndiyo wa hovyo sana kuliko tawala zote zilizowahi kutokea za madikteta duniani kama Hitler na nduli
 
Hii nchi imejaa mimbulula tu
Na inaonekana kwenye benki za kigeni, zote zimejaa wakenya na wahindi
Kweli kabisa mkuu, hao wako very smart. Sasa unadhani wanaweza mwajiri mtu aliyesoma shule ya kata aliyefundishwa na mwalimu ambaye hata yeye kingereza kinampiga mtama. Jiulize kwanin hatutaki ushindani wa soko la ajira na Wakenya, tunajijua vizuri kuwa wengi kama siyo wote watakuwa unemployed. Sikatai kuwa shule za kata ni wazo zuri lakini zingekuja taratibu huku ubora wa elimu ukiboreshwa. Imagine zilivyokuja kwa kasi mpaka tukawa na walimu wa vodafast. Hapo kuna elimu tena au bora liende tuonekane tumejenga shule kumbe tunaua vipaji vya watoto hata wale waliokuwa na uwezo wanapotelea humo humo. Baada ya miaka kumi watu aina ya Lissu au Zitto na wengineo wenye uwezo mkubwa hawatakuwepo. Kila mwajiri ataona bora aajiri wageni. Nenda ofisi za umma kakutane na hivi vi graduates vilivyo vyeupe kichwani ndiyo utanielewa nacho maanisha
 
Inasikitisha sana. Hata asilimia kubwa ya wafanyabiashara matajiri wa sasa,chimbuko la mitaji yao ni mali za umma kwenye zoezi la kubinafsisha mashirika ya serikali.
Ndiyo maana 98% ya wafanyabiashara ni CCM sababu wamepata mali kwa njia za wizi
 
UDSM imejengwa baada ya uhuru, fuatilia mambo ya nchi, mko bize na mambo ya Pdiddy na Mdude
Udsm imeanza 1961 na ilikuwa inaitwa College of the University of London. Sasa ilijengwa lini na ikaanzaje 1961,labda kuna sehemu sielewi naomba ufafanuzi
 
Udsm imeanza 1961 na ilikuwa inaitwa College of the University of London. Sasa ilijengwa lini na ikaanzaje 1961,labda kuna sehemu sielewi naomba ufafanuzi
Tatizo la shule za kata, kuanzishwa na kujengwa ni vitu tofauti, UDSM awali ilikuwa university College, tena sio ya London,ilipokea kada ya sheria tu, kafanye homework vizuri
 
Tatizo la shule za kata, kuanzishwa na kujengwa ni vitu tofauti, UDSM awali ilikuwa university College, tena sio ya London,ilipokea kada ya sheria tu, kafanye homework vizuri
Sawa mkuu
 
Huyo kijana hakuwepo wakati huo na hakuona yale yalokuwa yanatokea.

Nina imani Interested Observer , weye na wengine mmempatia elimu kiasi.

Mimi nimegundua kwamba katika miaka ya hivi karibuni kumekuwepo na kikundi (kilicho na baraka zote kutoka anga jeusi) cha watu wasojulikana wanoteka, kutesa na kuua watu na pia kipo kikundi ambacho kina jukumu la kuua historia za watu kama Sokoine.

Hawa watu ni hatari kwa mstakabali wa nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…