Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Movement za national of islam toka miaka ya 1930 ulianzishwa na wallace baadae miaka ya 1950s chini ya kina Malcom x na Elijah ndio ikashika kasi, blacks wengi wakawa wafuasi akiwemo Mohammed Ali na hii ndiyo ilipelekea mpaka malcom x kupigwa risasi.Kwanini late 60 to 90 kulikua na wimbi kubwa la Black people kubadiri kua waislam??
Hili liko waziPana utata kifo Cha pac,dzain Kuna mkono wa serikali,polisi wakizuwia juhudi za Askari mmoja kufuatilia
TUPAC IS TRUTHKila tarehe 9 october ni siku ya kuzaliwa ya Rapper Yafeu Akiyele Fula A.K.A Yaki Kadafi. Mama yake Diamond huwa anasema kwamba kipindi Rommy Jones akiwa mdogo ilifikia hatua hata kumpa nyonyo japo hakua mwanae ila alikuwa na urafiki na mama yake Rommy.
Hivyo hivyo kwa huyu bwana mdogo Yaki Kadafi, familia yake na ya Tupac walikua marafiki na wote walikuwa wanachama cha Black Panther Party. kwaiyo muda mwingi aliutumia akiwa na kaka yake wa kufikia Tupac, Tupac alimizdi miaka 5/6.
Kwaiyo walikua pamoja kama kaka na mdogo kama vile Rommy Jones na Diamond wamekuwa. Umeona anajiita Yaki Kadafi and it sound like Gadaffi. Yes it is.
Kundi la Outlawz lililoundwa na Tupac, walikua wanatumia A.K.A za Madikteta mbalimbali;
Except 2Pac pekee ndio alijipa jina la mwanafalsafa kutoka Italia, Nicolo Machiaveli and 2Pac Remains as Phylosophical rapper ever lived.
- Hussein Fatal - Jina la Sadam Hussein
- E.D.I Mean - Jina la Idd Amin dada
- Kastro - Fidel Castro
- Mussolini - Benitto mussolini
- Napoleon - Napoleon Bonaparte
Bahati mbaya wote wawili waliuawa kwa risasi ndani ya mwaka mmoja.
View attachment 2386245
Can't reach the children 'cause they're illin'Hili liko wazi
It's just me against the world, baby..Can't reach the children 'cause they're illin'
Addicted to killin' and the appeal from the cap peelin'
Without feelin', but will they last or be blasted?
Hard headed bastard
Maybe he'll listen in his casket; the aftermath
More bodies being buried, I'm losin' my homies in a hurry
They're relocatin' to the cemetery
Got me runnin', stressin', my vision's blurry
The question is will I live? No one in the world loves me
I'm headed for danger, don't trust strangers
Put one in the chamber whenever I'm feeling this anger
Don't wanna make excuses, cause this is how it is
What's the use? Unless we're shootin' no one notices the youth
Kifo cha Pac hakina utata, chanzo chake na aliyemuua vinajulikana, hakuna cha mkono wa Serikali. Tatizo ni kwamba upelelezi ulikuwa mgumu kutokana na walioshuhudia kufuata street code na kukataa kutoa ushirikiano kwa polisi (ku-snitch). Hata Suge pamoja na kumjua aliyemuua Pac alikataa kutoa maelezo ambayo yangesaidia upelelezi.Pana utata kifo Cha pac,dzain Kuna mkono wa serikali,polisi wakizuwia juhudi za Askari mmoja kufuatilia
"Screaming, "Thug 'til I die" before I passed out
But now that you're gone, I'm in the zone
Thinking I don't wanna die all alone, but now ya gone
And all I got left are stinkin' memories
I love them n—s to death, I'm drinkin' Hennessy
While trying to make it last
I drank a fifth for that when you passed
'Cause life goes on"
View attachment 2386418
Me against the worldCan't reach the children 'cause they're illin'
Addicted to killin' and the appeal from the cap peelin'
Without feelin', but will they last or be blasted?
Hard headed bastard
Maybe he'll listen in his casket; the aftermath
More bodies being buried, I'm losin' my homies in a hurry
They're relocatin' to the cemetery
Got me runnin', stressin', my vision's blurry
The question is will I live? No one in the world loves me
I'm headed for danger, don't trust strangers
Put one in the chamber whenever I'm feeling this anger
Don't wanna make excuses, cause this is how it is
What's the use? Unless we're shootin' no one notices the youth
National of Islam [emoji117] Nation of Islam (NOI)Movement za national of islam toka miaka ya 1930 ulianzishwa na wallace baadae miaka ya 1950s chini ya kina Malcom x na Elijah ndio ikashika kasi, blacks wengi wakawa wafuasi akiwemo Mohammed Ali na hii ndiyo ilipelekea mpaka malcom x kupigwa risasi.
National of islam ilikuwa religious and political movement kwa waafrika tofauti na uislam wa siku zote na ulikuwa haufungamani na uislam moja kwa moja wa waarabu ulikuwa unamafundisho tofauti ulibase kwa watu weusi.
Ukimsoma malcom x utajua mengi kuhusu national of islam na nguvu yake kwa blacks
Five shot didn't stop me, I took and smiling.Uzi umenitoa machozi huu. 2Pac, Lucky Dube na Whitney Houston ndio wasanii ninaowapenda zaidi katika ulimwengu wa muziki. Wapumzike kwa Amani.