KUMBUKIZI: Ukiwa mkweli ndani ya CCM, Mambo 4 yatakukuta - Humphrey Polepole

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
640
Reaction score
1,517

BALOZI wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Humphrey Polepole ameweka wazi mambo manne ambayo unaweza kufanyiwa Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi unayesimamia haki na ukweli bila kupindisha maneno.

“Kwenye Chama cha Mapinduzi ukiwa umenyooka hivi yaani umenyooka hivi rula inasubiri mambo 4 wanaweza kukufanyia wahuni, sababu wahuni wapo kwenye CCM, wako wahuni kwenye Chama cha Mapinduzi na mimi nimeshiriki na wenzangu kwenye uongozi kupambana nao na umesikia sasa hivi viongozi wetu wanahangaika kusema wahuni wasivuruge uchaguzi wa mwaka kesho uchaguzi wa chama”.

Kwa mujibu wa PolePole ndani ya CCM ukiwa mkweli na msimamia haki na kunyoosha maneno mithili ya rula ndani ya CCM utafanyiwa mambo makuu manne yafuatayo
  • Watakupiga Fitna, Fitna kupeleka maneno ya uongo na nini kwa viongozi
  • Wakishindwa fitna utashushiwa zengwe, zengwe linatengenezwa Skendo lisilokuwa na kichwa wala miguu linashushwa
  • La tatu utalogwa unakufa, unapigwa stroke hivi hivi
  • Watakuja wajaribu kukuumiza kwa hiyo unatakiwa kuwa makini
Vitu vyote hivi kwangu vimeshindikana kwa kuwa namtegemea sana Mungu wa mbinguni ndio maana watu wanatapatatapa.

CHANZO: Dar24 Online
 
Huyu wangempiga hata stroke tu aache kutusumbua na upuuzi wake
Yeye ni lini alinyoosha maneno mithili ya rula?

Au anamaanisha ule uratibu wake wa kununua viongozi wa upinzani ndiyo kusimamia haki na ukweli kwa anavyoona yeye?
 
KASEMA lini kwani sidhani kama anaweza ropoka akiwa na huo ubalozi wa kuonewa huruma
 
BALOZI wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Humphrey Polepole ameweka wazi mambo manne ambayo unaweza kufanyiwa Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi unayesimamia haki na ukweli bila kupindisha maneno.

“Kwenye Chama cha Mapinduzi ukiwa umenyooka hivi yaani umenyooka hivi rula inasubiri mambo 4 wanaweza kukufanyia wahuni, sababu wahuni wapo kwenye CCM, wako wahuni kwenye Chama cha Mapinduzi na mimi nimeshiriki na wenzangu kwenye uongozi kupambana nao na umesikia sasa hivi viongozi wetu wanahangaika kusema wahuni wasivuruge uchaguzi wa mwaka kesho uchaguzi wa chama”.

Kwa mujibu wa PolePole ndani ya CCM ukiwa mkweli na msimamia haki na kunyoosha maneno mithili ya rula ndani ya CCM utafanyiwa mambo makuu manne yafuatayo

  • Watakupiga Fitna, Fitna kupeleka maneno ya uongo na nini kwa viongozi
  • Wakishindwa fitna utashushiwa zengwe, zengwe linatengenezwa Skendo lisilokuwa na kichwa wala miguu linashushwa
  • La tatu utalogwa unakufa, unapigwa stroke hivi hivi
  • Watakuja wajaribu kukuumiza kwa hiyo unatakiwa kuwa makini
Vitu vyote hivi kwangu vimeshindikana kwa kuwa namtegemea sana Mungu wa mbinguni ndio maana watu wanatapatatapa

CHANZO: Dar24 Online
Kwa nini huu uzi unaletwa m vile ni mya wakati haya aliyazunguza siku nyingi ten akiwa mbunge?

Leo hii wala hayuko bungeni sasa ni balozi nje ya nchi halafu mtu unleta hii thread kana kwamba kazungumza leo, ni agenda gani iliyo nyuma yake?
 
Hayo ni maoni yake kama ni kweli au sio kweli anajua yeye na kipindi hiki CCM ndio inafanya chaguzi zake za Ndani sasa wanakaribia kufanya uchaguzi ngazi ya Mikoa na baadae Taifa
 
BALOZI wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Humphrey Polepole ameweka wazi mambo manne ambayo unaweza kufanyiwa Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi unayesimamia haki na ukweli bila kupindisha maneno.

“Kwenye Chama cha Mapinduzi ukiwa umenyooka hivi yaani umenyooka hivi rula inasubiri mambo 4 wanaweza kukufanyia wahuni, sababu wahuni wapo kwenye CCM, wako wahuni kwenye Chama cha Mapinduzi na mimi nimeshiriki na wenzangu kwenye uongozi kupambana nao na umesikia sasa hivi viongozi wetu wanahangaika kusema wahuni wasivuruge uchaguzi wa mwaka kesho uchaguzi wa chama”.

Kwa mujibu wa PolePole ndani ya CCM ukiwa mkweli na msimamia haki na kunyoosha maneno mithili ya rula ndani ya CCM utafanyiwa mambo makuu manne yafuatayo
  • Watakupiga Fitna, Fitna kupeleka maneno ya uongo na nini kwa viongozi
  • Wakishindwa fitna utashushiwa zengwe, zengwe linatengenezwa Skendo lisilokuwa na kichwa wala miguu linashushwa
  • La tatu utalogwa unakufa, unapigwa stroke hivi hivi
  • Watakuja wajaribu kukuumiza kwa hiyo unatakiwa kuwa makini
Vitu vyote hivi kwangu vimeshindikana kwa kuwa namtegemea sana Mungu wa mbinguni ndio maana watu wanatapatatapa.

CHANZO: Dar24 Online
Kwani CCM wenyewe wanasemaje?
 
Balozi na siasa wapi na wapi?
 
Kwani huko ccm mkweli ni nani? Wote waongo,nashangaa mzee Polepole ajikweze mbele ya wenzake. Pumbavu Sana huyu mzee hafai kuwa hata mwenyekiti wa kitongoji.
 
BALOZI wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Humphrey Polepole ameweka wazi mambo manne ambayo unaweza kufanyiwa Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi unayesimamia haki na ukweli bila kupindisha maneno.

“Kwenye Chama cha Mapinduzi ukiwa umenyooka hivi yaani umenyooka hivi rula inasubiri mambo 4 wanaweza kukufanyia wahuni, sababu wahuni wapo kwenye CCM, wako wahuni kwenye Chama cha Mapinduzi na mimi nimeshiriki na wenzangu kwenye uongozi kupambana nao na umesikia sasa hivi viongozi wetu wanahangaika kusema wahuni wasivuruge uchaguzi wa mwaka kesho uchaguzi wa chama”.

Kwa mujibu wa PolePole ndani ya CCM ukiwa mkweli na msimamia haki na kunyoosha maneno mithili ya rula ndani ya CCM utafanyiwa mambo makuu manne yafuatayo
  • Watakupiga Fitna, Fitna kupeleka maneno ya uongo na nini kwa viongozi
  • Wakishindwa fitna utashushiwa zengwe, zengwe linatengenezwa Skendo lisilokuwa na kichwa wala miguu linashushwa
  • La tatu utalogwa unakufa, unapigwa stroke hivi hivi
  • Watakuja wajaribu kukuumiza kwa hiyo unatakiwa kuwa makini
Vitu vyote hivi kwangu vimeshindikana kwa kuwa namtegemea sana Mungu wa mbinguni ndio maana watu wanatapatatapa.

CHANZO: Dar24 Online
Hayo mambo,ndiyo,aliongea zamani sana. Kwa nini unayakumbusha leo?
Hii ni hatari. Maneno kama haya hayafai. Kama yupo huko Malawi,anaongea mambo haya,hii haifai.
Lakini hatuwezi kusema amekosea,hiki ni Chama chake, lazima awe concerned.
Yeye yupo Malawi,anapaswa kuwa Imani kwamba watu waliobakia nyumbani watakilinda Chama.
 
BALOZI wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Humphrey Polepole ameweka wazi mambo manne ambayo unaweza kufanyiwa Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi unayesimamia haki na ukweli bila kupindisha maneno.

“Kwenye Chama cha Mapinduzi ukiwa umenyooka hivi yaani umenyooka hivi rula inasubiri mambo 4 wanaweza kukufanyia wahuni, sababu wahuni wapo kwenye CCM, wako wahuni kwenye Chama cha Mapinduzi na mimi nimeshiriki na wenzangu kwenye uongozi kupambana nao na umesikia sasa hivi viongozi wetu wanahangaika kusema wahuni wasivuruge uchaguzi wa mwaka kesho uchaguzi wa chama”.

Kwa mujibu wa PolePole ndani ya CCM ukiwa mkweli na msimamia haki na kunyoosha maneno mithili ya rula ndani ya CCM utafanyiwa mambo makuu manne yafuatayo
  • Watakupiga Fitna, Fitna kupeleka maneno ya uongo na nini kwa viongozi
  • Wakishindwa fitna utashushiwa zengwe, zengwe linatengenezwa Skendo lisilokuwa na kichwa wala miguu linashushwa
  • La tatu utalogwa unakufa, unapigwa stroke hivi hivi
  • Watakuja wajaribu kukuumiza kwa hiyo unatakiwa kuwa makini
Vitu vyote hivi kwangu vimeshindikana kwa kuwa namtegemea sana Mungu wa mbinguni ndio maana watu wanatapatatapa.

CHANZO: Dar24 Online
Wewe una ukweli gani mh.tangu ulipokuwa mjumbe wa bunge la katiba mpya lakini kwenye utawala wa mh.Magu ulipopata madaraka ukageuka misimamo yako na kuwa chawa wake?
 
BALOZI wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Humphrey Polepole ameweka wazi mambo manne ambayo unaweza kufanyiwa Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi unayesimamia haki na ukweli bila kupindisha maneno.

“Kwenye Chama cha Mapinduzi ukiwa umenyooka hivi yaani umenyooka hivi rula inasubiri mambo 4 wanaweza kukufanyia wahuni, sababu wahuni wapo kwenye CCM, wako wahuni kwenye Chama cha Mapinduzi na mimi nimeshiriki na wenzangu kwenye uongozi kupambana nao na umesikia sasa hivi viongozi wetu wanahangaika kusema wahuni wasivuruge uchaguzi wa mwaka kesho uchaguzi wa chama”.

Kwa mujibu wa PolePole ndani ya CCM ukiwa mkweli na msimamia haki na kunyoosha maneno mithili ya rula ndani ya CCM utafanyiwa mambo makuu manne yafuatayo
  • Watakupiga Fitna, Fitna kupeleka maneno ya uongo na nini kwa viongozi
  • Wakishindwa fitna utashushiwa zengwe, zengwe linatengenezwa Skendo lisilokuwa na kichwa wala miguu linashushwa
  • La tatu utalogwa unakufa, unapigwa stroke hivi hivi
  • Watakuja wajaribu kukuumiza kwa hiyo unatakiwa kuwa makini
Vitu vyote hivi kwangu vimeshindikana kwa kuwa namtegemea sana Mungu wa mbinguni ndio maana watu wanatapatatapa.

CHANZO: Dar24 Online
Yeye hajapatwa na yote haya sababu yeye ni muongo
 
Kasema ukweli kabisa.Ukiwa mkweli ndani ya ccm lazima wakufanyie zengwe hata kukuua.Mfano hai ni jpm vs msoga geng lililopelekea hadi kututoka mzalendo tunayemkumbuka watanzania hadi Leo na sasa na baadae
 
Back
Top Bottom