Kwa nini huu uzi unaletwa m vile ni mya wakati haya aliyazunguza siku nyingi ten akiwa mbunge?BALOZI wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Humphrey Polepole ameweka wazi mambo manne ambayo unaweza kufanyiwa Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi unayesimamia haki na ukweli bila kupindisha maneno.
“Kwenye Chama cha Mapinduzi ukiwa umenyooka hivi yaani umenyooka hivi rula inasubiri mambo 4 wanaweza kukufanyia wahuni, sababu wahuni wapo kwenye CCM, wako wahuni kwenye Chama cha Mapinduzi na mimi nimeshiriki na wenzangu kwenye uongozi kupambana nao na umesikia sasa hivi viongozi wetu wanahangaika kusema wahuni wasivuruge uchaguzi wa mwaka kesho uchaguzi wa chama”.
Kwa mujibu wa PolePole ndani ya CCM ukiwa mkweli na msimamia haki na kunyoosha maneno mithili ya rula ndani ya CCM utafanyiwa mambo makuu manne yafuatayo
Vitu vyote hivi kwangu vimeshindikana kwa kuwa namtegemea sana Mungu wa mbinguni ndio maana watu wanatapatatapa
- Watakupiga Fitna, Fitna kupeleka maneno ya uongo na nini kwa viongozi
- Wakishindwa fitna utashushiwa zengwe, zengwe linatengenezwa Skendo lisilokuwa na kichwa wala miguu linashushwa
- La tatu utalogwa unakufa, unapigwa stroke hivi hivi
- Watakuja wajaribu kukuumiza kwa hiyo unatakiwa kuwa makini
CHANZO: Dar24 Online
Kale kanaongea tu, siku hizi kameamua liwalo na liweKASEMA lini kwani sidhani kama anaweza ropoka akiwa na huo ubalozi wa kuonewa huruma
Kwani CCM wenyewe wanasemaje?BALOZI wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Humphrey Polepole ameweka wazi mambo manne ambayo unaweza kufanyiwa Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi unayesimamia haki na ukweli bila kupindisha maneno.
“Kwenye Chama cha Mapinduzi ukiwa umenyooka hivi yaani umenyooka hivi rula inasubiri mambo 4 wanaweza kukufanyia wahuni, sababu wahuni wapo kwenye CCM, wako wahuni kwenye Chama cha Mapinduzi na mimi nimeshiriki na wenzangu kwenye uongozi kupambana nao na umesikia sasa hivi viongozi wetu wanahangaika kusema wahuni wasivuruge uchaguzi wa mwaka kesho uchaguzi wa chama”.
Kwa mujibu wa PolePole ndani ya CCM ukiwa mkweli na msimamia haki na kunyoosha maneno mithili ya rula ndani ya CCM utafanyiwa mambo makuu manne yafuatayo
Vitu vyote hivi kwangu vimeshindikana kwa kuwa namtegemea sana Mungu wa mbinguni ndio maana watu wanatapatatapa.
- Watakupiga Fitna, Fitna kupeleka maneno ya uongo na nini kwa viongozi
- Wakishindwa fitna utashushiwa zengwe, zengwe linatengenezwa Skendo lisilokuwa na kichwa wala miguu linashushwa
- La tatu utalogwa unakufa, unapigwa stroke hivi hivi
- Watakuja wajaribu kukuumiza kwa hiyo unatakiwa kuwa makini
CHANZO: Dar24 Online
BALOZI wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Humphrey Polepole ameweka wazi mambo manne ambayo unaweza kufanyiwa Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi unayesimamia haki na ukweli bila kupindisha maneno.
“Kwenye Chama cha Mapinduzi ukiwa umenyooka hivi yaani umenyooka hivi rula inasubiri mambo 4 wanaweza kukufanyia wahuni, sababu wahuni wapo kwenye CCM, wako wahuni kwenye Chama cha Mapinduzi na mimi nimeshiriki na wenzangu kwenye uongozi kupambana nao na umesikia sasa hivi viongozi wetu wanahangaika kusema wahuni wasivuruge uchaguzi wa mwaka kesho uchaguzi wa chama”.
Kwa mujibu wa PolePole ndani ya CCM ukiwa mkweli na msimamia haki na kunyoosha maneno mithili ya rula ndani ya CCM utafanyiwa mambo makuu manne yafuatayo
Vitu vyote hivi kwangu vimeshindikana kwa kuwa namtegemea sana Mungu wa mbinguni ndio maana watu wanatapatatapa.
- Watakupiga Fitna, Fitna kupeleka maneno ya uongo na nini kwa viongozi
- Wakishindwa fitna utashushiwa zengwe, zengwe linatengenezwa Skendo lisilokuwa na kichwa wala miguu linashushwa
- La tatu utalogwa unakufa, unapigwa stroke hivi hivi
- Watakuja wajaribu kukuumiza kwa hiyo unatakiwa kuwa makini
CHANZO: Dar24 Online
Kwani huko ccm mkweli ni nani? Wote waongo,nashangaa mzee Polepole ajikweze mbele ya wenzake. Pumbavu Sana huyu mzee hafai kuwa hata mwenyekiti wa kitongoji.BALOZI wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Humphrey Polepole ameweka wazi mambo manne ambayo unaweza kufanyiwa Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi unayesimamia haki na ukweli bila kupindisha maneno.
“Kwenye Chama cha Mapinduzi ukiwa umenyooka hivi yaani umenyooka hivi rula inasubiri mambo 4 wanaweza kukufanyia wahuni, sababu wahuni wapo kwenye CCM, wako wahuni kwenye Chama cha Mapinduzi na mimi nimeshiriki na wenzangu kwenye uongozi kupambana nao na umesikia sasa hivi viongozi wetu wanahangaika kusema wahuni wasivuruge uchaguzi wa mwaka kesho uchaguzi wa chama”.
Kwa mujibu wa PolePole ndani ya CCM ukiwa mkweli na msimamia haki na kunyoosha maneno mithili ya rula ndani ya CCM utafanyiwa mambo makuu manne yafuatayo
Vitu vyote hivi kwangu vimeshindikana kwa kuwa namtegemea sana Mungu wa mbinguni ndio maana watu wanatapatatapa.
- Watakupiga Fitna, Fitna kupeleka maneno ya uongo na nini kwa viongozi
- Wakishindwa fitna utashushiwa zengwe, zengwe linatengenezwa Skendo lisilokuwa na kichwa wala miguu linashushwa
- La tatu utalogwa unakufa, unapigwa stroke hivi hivi
- Watakuja wajaribu kukuumiza kwa hiyo unatakiwa kuwa makini
CHANZO: Dar24 Online
Hayo mambo,ndiyo,aliongea zamani sana. Kwa nini unayakumbusha leo?BALOZI wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Humphrey Polepole ameweka wazi mambo manne ambayo unaweza kufanyiwa Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi unayesimamia haki na ukweli bila kupindisha maneno.
“Kwenye Chama cha Mapinduzi ukiwa umenyooka hivi yaani umenyooka hivi rula inasubiri mambo 4 wanaweza kukufanyia wahuni, sababu wahuni wapo kwenye CCM, wako wahuni kwenye Chama cha Mapinduzi na mimi nimeshiriki na wenzangu kwenye uongozi kupambana nao na umesikia sasa hivi viongozi wetu wanahangaika kusema wahuni wasivuruge uchaguzi wa mwaka kesho uchaguzi wa chama”.
Kwa mujibu wa PolePole ndani ya CCM ukiwa mkweli na msimamia haki na kunyoosha maneno mithili ya rula ndani ya CCM utafanyiwa mambo makuu manne yafuatayo
Vitu vyote hivi kwangu vimeshindikana kwa kuwa namtegemea sana Mungu wa mbinguni ndio maana watu wanatapatatapa.
- Watakupiga Fitna, Fitna kupeleka maneno ya uongo na nini kwa viongozi
- Wakishindwa fitna utashushiwa zengwe, zengwe linatengenezwa Skendo lisilokuwa na kichwa wala miguu linashushwa
- La tatu utalogwa unakufa, unapigwa stroke hivi hivi
- Watakuja wajaribu kukuumiza kwa hiyo unatakiwa kuwa makini
CHANZO: Dar24 Online
Wewe una ukweli gani mh.tangu ulipokuwa mjumbe wa bunge la katiba mpya lakini kwenye utawala wa mh.Magu ulipopata madaraka ukageuka misimamo yako na kuwa chawa wake?BALOZI wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Humphrey Polepole ameweka wazi mambo manne ambayo unaweza kufanyiwa Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi unayesimamia haki na ukweli bila kupindisha maneno.
“Kwenye Chama cha Mapinduzi ukiwa umenyooka hivi yaani umenyooka hivi rula inasubiri mambo 4 wanaweza kukufanyia wahuni, sababu wahuni wapo kwenye CCM, wako wahuni kwenye Chama cha Mapinduzi na mimi nimeshiriki na wenzangu kwenye uongozi kupambana nao na umesikia sasa hivi viongozi wetu wanahangaika kusema wahuni wasivuruge uchaguzi wa mwaka kesho uchaguzi wa chama”.
Kwa mujibu wa PolePole ndani ya CCM ukiwa mkweli na msimamia haki na kunyoosha maneno mithili ya rula ndani ya CCM utafanyiwa mambo makuu manne yafuatayo
Vitu vyote hivi kwangu vimeshindikana kwa kuwa namtegemea sana Mungu wa mbinguni ndio maana watu wanatapatatapa.
- Watakupiga Fitna, Fitna kupeleka maneno ya uongo na nini kwa viongozi
- Wakishindwa fitna utashushiwa zengwe, zengwe linatengenezwa Skendo lisilokuwa na kichwa wala miguu linashushwa
- La tatu utalogwa unakufa, unapigwa stroke hivi hivi
- Watakuja wajaribu kukuumiza kwa hiyo unatakiwa kuwa makini
CHANZO: Dar24 Online
Yeye hajapatwa na yote haya sababu yeye ni muongoBALOZI wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Humphrey Polepole ameweka wazi mambo manne ambayo unaweza kufanyiwa Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi unayesimamia haki na ukweli bila kupindisha maneno.
“Kwenye Chama cha Mapinduzi ukiwa umenyooka hivi yaani umenyooka hivi rula inasubiri mambo 4 wanaweza kukufanyia wahuni, sababu wahuni wapo kwenye CCM, wako wahuni kwenye Chama cha Mapinduzi na mimi nimeshiriki na wenzangu kwenye uongozi kupambana nao na umesikia sasa hivi viongozi wetu wanahangaika kusema wahuni wasivuruge uchaguzi wa mwaka kesho uchaguzi wa chama”.
Kwa mujibu wa PolePole ndani ya CCM ukiwa mkweli na msimamia haki na kunyoosha maneno mithili ya rula ndani ya CCM utafanyiwa mambo makuu manne yafuatayo
Vitu vyote hivi kwangu vimeshindikana kwa kuwa namtegemea sana Mungu wa mbinguni ndio maana watu wanatapatatapa.
- Watakupiga Fitna, Fitna kupeleka maneno ya uongo na nini kwa viongozi
- Wakishindwa fitna utashushiwa zengwe, zengwe linatengenezwa Skendo lisilokuwa na kichwa wala miguu linashushwa
- La tatu utalogwa unakufa, unapigwa stroke hivi hivi
- Watakuja wajaribu kukuumiza kwa hiyo unatakiwa kuwa makini
CHANZO: Dar24 Online
Muhuni mmojawapo huyu hapa😂Pumbafu huyu mnafiki mkubwa, kwani lazima awe CCM? siaanzishe chama chake
Anakula na anaendelea kupiga kelele et?Pumbafu huyu mnafiki mkubwa, kwani lazima awe CCM? siaanzishe chama chake