Mateo Kovasic
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 420
- 335
BALOZI wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Humphrey Polepole ameweka wazi mambo manne ambayo unaweza kufanyiwa Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi unayesimamia haki na ukweli bila kupindisha maneno.
βKwenye Chama cha Mapinduzi ukiwa umenyooka hivi yaani umenyooka hivi rula inasubiri mambo 4 wanaweza kukufanyia wahuni, sababu wahuni wapo kwenye CCM, wako wahuni kwenye Chama cha Mapinduzi na mimi nimeshiriki na wenzangu kwenye uongozi kupambana nao na umesikia sasa hivi viongozi wetu wanahangaika kusema wahuni wasivuruge uchaguzi wa mwaka kesho uchaguzi wa chamaβ.
Kwa mujibu wa PolePole ndani ya CCM ukiwa mkweli na msimamia haki na kunyoosha maneno mithili ya rula ndani ya CCM utafanyiwa mambo makuu manne yafuatayo
Vitu vyote hivi kwangu vimeshindikana kwa kuwa namtegemea sana Mungu wa mbinguni ndio maana watu wanatapatatapa.
- Watakupiga Fitna, Fitna kupeleka maneno ya uongo na nini kwa viongozi
- Wakishindwa fitna utashushiwa zengwe, zengwe linatengenezwa Skendo lisilokuwa na kichwa wala miguu linashushwa
- La tatu utalogwa unakufa, unapigwa stroke hivi hivi
- Watakuja wajaribu kukuumiza kwa hiyo unatakiwa kuwa makini
CHANZO: Dar24 Online
Nawewe Ni walewale,Pumbafu huyu mnafiki mkubwa, kwani lazima awe CCM? siaanzishe chama chake
Huyu aliletwa madaraka.... Anajua akitoa huko baada ya uchaguzi 2023 V Eighty ataisikia mtaani. Kwa Sasa hapati usingizi vizuri. Hizo siyo nafasi za vijana kama yeye. Ameshaliona hilo.Huyu wangempiga hata stroke tu aache kutusumbua na upuuzi wake
Yeye ni lini alinyoosha maneno mithili ya rule?
Au anamaanisha ule uratibu wake wa kununua viongozi wa upinzani ndiyo kusimamia haki na ukweli kwa anavyoona yeye?
SawaNawewe Ni walewale,
Umeshakerwa tayari, unaanza fitna!
Mjengoni kuna pesa ya bure tofauti na OCAnakula na anaendelea kupiga kelele et?
Unaendeleza hayo manne aliyoyataja.. HUTAKI KUAMBIWA UKWELIPumbafu huyu mnafiki mkubwa, kwani lazima awe CCM? siaanzishe chama chake
SawaUnaendeleza hayo manne aliyoyataja.. HUTAKI KUAMBIWA UKWELI
Balozi Polepole anesema Ukiwa CCM na unapenda kunyoosha mambo basi tegemea mambo manne yakukute;
Mosi, Utapigwa Fitna kila kona hadi uchakae
Pili, Utaundiwa Zengwe yaani scandal ili wakuvuruge
Tatu, Utarogwa yaani Utapigwa stroke ya nguvu za Giza
Na nne, Watakuumiza kabisa
CCM kuna Wahuni japo kwenye vyama vingine ndio Wamejazana kabisa, amesisitiza Polepole
Mlale unono ππ
ππππYupo sahihi kabisa.
Ila asiwe anamaanisha yeye kanyooka si mhuni. Maana ni mfitini aliyestaafishwa.