Kumbukizi ya miaka 20 ya Moses Nnauye imetegua vitendawili vingi

Umeniwahi kuandika huu uzi. Ila kila kitu kina mwanzo na mwisho.

Wakiendeleza siasa zao za kujiona wengine hawafai kuongoza hii nchi kifuatacho ni kuwaachia chama chao.

Hii nchi inaenda kukombolewa 2025. JPM hakuwamaliza wahuni.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeniwahi kuandika huu uzi. Ila kila kitu kina mwanzo na mwisho.

Wakiendeleza siasa zao za kujiona wengine hawafai kuongoza hii nchi kifuatacho ni kuwaachia chama chao.

Hii nchi inaenda kukombolewa 2025. JPM hakuwamaliza wahuni.
 
Ujinga tu! Kwani Nnauye ni maarufu kuliko Rashid Kawawa? Ni maarufu kuliko Oscar Kambona? Ni maarufu kuliko akina Kasela bantu. Hapa kuna kiwewe na kuandaa urithi wa madaraka. Siku hizi namuona Nape ana panic kila wakati, anaona amesahaulika. Bahati mbaya Nchimbi ambaye ni adui yake namba moja amerudishwa. Katikati kuna ndumilakuwili, Kikwete.

Ni hivi Nnauye alikuwa na nafasi kama wengine katika chama. Aliwabeba akina makamba baada ya kufukuzwa ualimu kwa kumpa mwanafunzi mimba, na leo hii hasemi ujinga wake. Walikuwepo akina kanali Mwasomola ambao leo hii hawasikiki, akina Kolimba. Mwinyi alipopata urais Kikwete alikuwa katibu wa CCM wa wilaya Masasi au Nachingwea ambako alifahamiana na Nnauye. Nnauye ndo mtu aliyemuombea uwaziri Kikwete na kwa upendeleo wa kidini ndani yake, Mwinyi akamteua kuwa Naibu waziri akitokea wilayani, siyo hata mkoani!
Leo hii Kikwete anamtukuza Nnauye siyo kwa umaarufu wa kisiasa, bali kwa kumshika mkono na kumtambulisha kwa Mwinyi. Nape naye alilindwa na Kikwete akapewa mkuu wa wilaya na kumuepusha na uadui wake na Nchimbi. Wakati huo huo Nchimbi anajiona ni raifiki sana wa Kikwete. Undumilakuwili huo!!!!
 
Sifa kuu ya nyie watu ni kuhisi watu na kuwahukumu watu kwa hisia zenu!

Ndo mana hata huko kwenu mnaua vikongwe kwa kuwahusi ni wachawi kwa sababu tu wana macho mekundu.

Kubalini nyie ni washamba tu

Unaongelea kungamano kuwepo Kikwete, Makamba, Nape na Bashe Mbona husemi Getrude Mongela? Mbona husemi Jaji Warioba? ambao nao wote walikuwa kwenye kungamano!

Nyie watu mnajulikana mmejaa ubaguzi na roho mbaya na ukabila ni kutokana na asili yenu kuwa Rwanda na Burundi!

Kwani kumsema vibaya JPM ni nini? Ye nani asisemwe vibaya? Mnaabudu watu Kama miungu Ndo mana Mungu amewafundisha kupitia corona!

Mnajivika usukuma wakati sio Watanzania!

Wapuuzi nyie!
 
Nchi hii bila jeshi kuchukua hatua tutakuwa watumwa wa mafisadi milele!
Jeshi lichukue hatua gani kama wananchi hamto act kwanza😅! Jeshi ni la wananchi Tanzania.

Kwa ubinafsi unaoendelea na lack of solidarity tutaendelea kuminywa kende mpaka kiama chetu! Watu wachache wamejimilikisha utawala wao na familia zao ndio maana miaka nenda rudi sura ni zile zile 😅 licha ya maraisi kubadilika😅!

Atachukua January marope na kumpa Nape uwaziri mkuu ni mwendo wa kubunya tozo tu za wanyonge🤣! Trend inaendelea ni kuwapa watoto wao life na jamaa zao sie tutaota mvi na kufa 😎
 
Akiwemo babaako maana ni msengerema nae😅
 
 
Sasa wew apo umekemea Nini na mwisho umesema Nini yani mtu kutusiwa wazi wazi unaona kawaida?
 
Ni kweli kabisa, mfumo wa kurithishana unakuwepo kwenye nchi nyingi hasa huko USA. Mfano wa Bush baba, Bush mtoto, na Bush mtoto mwengine alikuwa Gavana wa Florida na ndiye aliyefanya figisu wakati wa uchaguzi kumpa ushindi wa kura Bush kaka yake na ukamfanya Al Gore akashindwa uchaguzi ule.
 
Unafahamu wagombea urais wa Marekani hawapatikani kwa watu kuja kamati kuu na majina yao mfukoni?
Umewahi kujua mtoto mmojawapo wa Bush alishindwa vibaya na Trump kwa KURA ZA WANACHAMA?
 
Bandiko bora sana la week
Kwangu linaongoza this week's political analysis
 
Inasaidia sana kama warithi wana akili timamu. Sasa umpe Nape au Makamba! Watu ambao hata shule iliwagomea! watupeleke wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…