Kumbukizi ya miaka 20 ya Moses Nnauye imetegua vitendawili vingi

Kumbukizi ya miaka 20 ya Moses Nnauye imetegua vitendawili vingi

Ujinga tu! Kwani Nnauye ni maarufu kuliko Rashid Kawawa? Ni maarufu kuliko Oscar Kambona? Ni maarufu kuliko akina Kasela bantu. Hapa kuna kiwewe na kuandaa urithi wa madaraka. Siku hizi namuona Nape ana panic kila wakati, anaona amesahaulika. Bahati mbaya Nchimbi ambaye ni adui yake namba moja amerudishwa. Katikati kuna ndumila kuwili, Kikwete.

Ni hivi Nnauye alikuwa na nafasi kama wengine katika chama. Aliwabeba akina makamba baada ya kufukuzwa ualimu kwa kumpa mwanafunzi mimba, na leo hii hasemi ujinga wake. Walikuwepo akina kanali Mwasomola ambao leo hii hawasikiki, akina Kolimba. Mwinyi alipopata urais Kikwete alikuwa katibu wa CCM wa wilaya Masasi au Nachingwea ambako alifahamiana na Nnauye. Nnauye ndo mtu aliyemuombea uwaziri Kikwete bna kwa upendeleo wa kidini ndani yake, Mwinyi akamteua kuwa Naibu waziri akitokea wilayani, siyo hata mkoani!
Leo hii Kikwete anamtukuza Nnauye siyo kwa umaarufu wa kisiasa, bali kwa kumshika mkono na kumtambulisha kwa Mwinyi. Nnauye naye alilindwa na Kikwete akapewa mkuu wa wilaya na kumuepusha na uadui wake na Nchimbi. Wakati huo huo Nchimbi anajiona ni raifiki sana wa Kikwete. Undumila kuwili huo!!!!
Aliyemuombea Kikwete uwaziri kwa Mwinyi ni Wariobya sio Nnauye.
 
Halafu Nape huyo huyo akatimuliwa kwenye chama wakati wa uongozi huo huo wa mlezi wake !
 
Tatizo unadhani kila mtu ana tabia kama yako...
Au umeshaacha ushoga?
Naomba nitumie kiingereza ili uelewe namaanisha nini. I meant you feel happy to be defiled. Kikwete, and co are desecrating our country yet we have people like you who feel the sweetness of their acts! What a shame!
 
Siasa ngumu sana..... Makamba Snr si ndio alisema Nape kafungiwa mbinguni na duniani
 
Kwani shida nini?!wakati JPM anataka "ku populate"civil service na ngazi zote za uongozi serikalini na sukuma gang,si mliona Raha!na sie hatukuwa na nongwa!!maana hata kama jamaa alikuwa anajaza kabila lake na maswaiba zake,tukasema,to hell with it,at the end of the day hata hao sukuma gang si watanzania,wacha wale nchi,kutesa kwa zamu.
Sasa hv zamu ya wengine,na nyie tulieni hivyo hivyo na Hawa wale nchi.

Hujui kitu unaandika, una evidence alijaza wasukuma?
 
Ingawa haikusaidia maana leo yupo wapi?
Kwamba alizivujisha ili aishi miaka 100? Unajua impacts za hizo clip? nenda kwenye page za wahusika ndio utajua jamii ililichukuliaje suala hilo
 
Nchi hii bila jeshi kuchukua hatua tutakuwa watumwa wa mafisadi milele!
Lichukue hatua mara ngapi!? Limeisha wahi kupata mtu wao ikulu, na watu wao kwenye chama unataka lifanye nini sasa! Au hukuelewa kusanyiko. Tatizo mnalitwika jeshi majukumu ambayo siyo yake! Acheni jeshi lifanye kazi za kijeshi.
 
Aiseh!tukubali yaishe!sema hawa jamaa huwa wanatujali walau kidogo!!!Kikwete na Mwinyi senior wametujali angalau!!
Apart from hayo makundi, unadhani hakuna watanzania wengine wenye karama ya uongozi, sasa unajiita raisi ajaye alafu unaishi kwa kutegemea kudra za waliokupatia sh 100 kwenye bil walizochota then unaona wanakujali
 
Ama kweli nchi hii ni ya wenye nchi.

Sukuma gang watapukutishwa sana siku za mbeleni.

Nawaonea huruma sana sukuma gang!
Wakati Sukuma Gan wanapukutishwa, jiulize wewe na uzao wako mtafaidika vipi akina Nape na January wakiwa wanakula keki ya taifa?
 
Back
Top Bottom