Kumbukizi ya miaka 59 toka Said Mwamwindi amuue RC Dkt. Kleruu siku kama ya leo mwaka 1971

Mojawapo ni muhogo mchungu
 
Mimi nimejifunza the following : Kwanza nimeshangaa mno kwa msomi wa PhD wa enzi hizo kufanya kazi kwa mihemuko na emotions. Imagine unaenda kwa wakulima na kuwaambia mna mashamba makubwa hivyo mnatakiwa kuwapa wengine, just like that!! Yaani hujali kabisa investment ya mtu aliyofanya kwenye hayo mashamba yake. RC anaambiwa kwa nini hao wananchi msiwape mapori wayafyeke wenyewe kama sisi maana mapori ni mengi tuu badala ya kutupora mashamba yetu tuliyohenyeka? But unfortunately RC hataki kabisa kuwaelewa wananchi wake. Sasa unashindwa kuelewa elimu yake ilikuwa na faida gani. Pili nimejifunza kumbe hii kitu ya raia kuchukuliwa na vyombo vya dola na kwenda kufichwa kusikojulikana kwa ndugu zao kumeanza zamani Sana daaah.
 
Ongezea na wale wazee wenzake baada ya kuchanga dola 2,500 ili wapate wakili kutoka nje ya nchi (aisee hawa wanyalu hawakusoma lakini walikuwa very advanced)but wakaishia kukamatwa wote!! Hivi kuwa na wakili si haki ya msingi kabisa wajameni? Kumbe dhulma ilianza zamani Sanaa...
 
Sera ya ujamaa ilikuwa Ni Sera ya kipuuzi.Ilikuwa inahamasisha uvivu na kutokuwa wabunifu.Mapori yapo kibao,unaenda kuwanyang'anya mashamba ambayo tayari yamesafishwa kwa nguvu na watu wengine
Halafu kitu kibaya zaidi ni kwamba yaani ndiyo kwanza tumejitawala kutoka kwa wakoloni Sasa badala ya kuendelea yetu ya asili au makabila mbali mbali ambayo tayari yamepiga hatua, ili wajipe muda wa kupata mfumo sahihi wa kitaifa baadae, wao wakavamia ujamaa ambao ni full of theory walizosoma vitabuni. Bora basi wangejaribu kwanza mikoa Michache.
 
Hii niliwahi simuliwa [emoji120][emoji120]
 
Ujamaa ulifeli vibaya Sana na watu wakarudi kwenye vijiji vyao vya asili... Pia hata lile azimio la Arusha la Nyerere wajanja walilizika kimya kimya huko Zanzibar na mwenyewe akiona
 
Kichwa cha habari ni miaka 50 si 59. Rekebisha najua ni uhariri wa ile ya 2020 ilipokuwa 49.
 
Unapoua lazima sheria ikushugulikie ipasavyo no matter ulikuwa na hasira gani. Kisa hasira unajichukulia sheria mkononi? Lazima unyooshwe.jino kwa jino. Sheria hiyo ipo na itaendelea kuwashugulikua wanaojichukulia sheria mkononi.

Miezi michache ilopita kijijini kwetu, huyu baba alipata ngoma mke akakataa kumpa unyumba kwa muda mrefu, kelele kelele, mpaka uongozi wa serikali ulijua ishu hiyo na waliwaita kutafuta suluhu.siku ya siku huyo baba ilikuwa siku ya j2 mama anajiandaa kwenda kanisani mzozo ukaanza, oh unaninyima k wewe ni nani mara nini na nini......

Mwanaume kashika panga kata mwanamke alimchekechaaa chekechaaa minofu kama nyama buchani, mtoto wao alijaribu kupiga kelele baba yake kamkolomea nyamazaaaaa, mtoto kapitia dirishani kaenda kutoa taarifa

Watu walipofika walikuta kila kiungo kiko peke yake. Nyumba yote ilikuwa damu kiasi kwamba wakati wanazika baadhi ya vitu kama viti vilidumbukizwa kaburini maana sio kwa damu zile.

Jitu kama hilo lisinyongwe? Hata hivyo tunasikia lishanyongwa.

Asante sheria.
 
Story ndefu ila nimejikaza nimesoma yote. Naomba kujua, ni kwanini hoja ya kuchukua shamba alilosafisha mtu ilihali mapori bado ni mengi haijajibiwa? Otherwise jamaa alifanya vyema kuua huyo mbwa. By the way, picha ulizoambatanisha ziko wapi?
MAAJABU,
WW KATIKA UZI ZOTE HUWA UNAPINGA MAUAJI HAIJALISHI SABABU KULIKONI?
 
Mfano wako hauendani na WA shujaa Said Mwamindi
 
Nyerere ndo alikuwa kabwela namba 1.

Leo mnamuita baba wa taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…