Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Kleruu hakwenda Mwika Moshi kuhesabiwa kwani alipanga Krismas hiyo atoke na mama lakini mwenyemji alikuwepo japo mzee haambiliki akageuza kibao na kuhitimisha chap kabla siri haijavuja.Ye aendelee tu kuandaa kitabu, kila siku wasomaji wapya na wenye kutaka kujua kilichotokea kwa kleruu na mwamwindi wanaibuka,
Mfano me mwenyewe bado kuna vitu naamini hatujavijua au kujulishwa vizuri juu ya tukio hilo hivyo kama kutakuja kitabu kipya nitakinunua tu kwani kuna mengi sn ya kujifunza.