Kumbukizi ya Nyerere: Familia ya Mwalimu Nyerere yawataka wasanii kuacha kutumia jina la Baba wa Taifa kama ubin wao

Mtu kama unafanya mambo mazuri katika jamii sidhani wahusika wataona aibu ukijihusisha na ubini wao.

Sasa bwana Steve naona hujakubalika na wahusika wa jina la Nyerere.

Jichunguze kuna kitu unakifanya wazi wazi au sirini hakina sifa nzuri kwa jamii.
 
Nyundo ya moto kichwani👍
 
Kamtaja steve
 
Huenda huyo waliyemtaja ana jambo jingine limejificha
 
alijaribu kugombea ubunge jimbo la butiama na alishindwa vibaya
 
Umeelewa alichokisema?hebu soma tena utaelewa,hajazungumzia majina ya bandia amezungumzia jina halisi la ukoo
 
Umeandika mashudu
 
Nyerere alikosea sana kuto wasomesha watoto.

Mtu kuchagua jina si ni jambo la hiyari yake ?

Kwani Nyerere wa kwanza ni huyo baba yao?

Kwani kila Nyerere ni Kambarage ?

Hakuna hatia miliki ya Jina, watu wanaojiita Yesu sembuse Nyerere.

Maendeleo hayana Chama.
 
Una akili ndogo, imwagilie ikue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…