Kumbukizi ya Nyerere: Familia ya Mwalimu Nyerere yawataka wasanii kuacha kutumia jina la Baba wa Taifa kama ubin wao

Kumbukizi ya Nyerere: Familia ya Mwalimu Nyerere yawataka wasanii kuacha kutumia jina la Baba wa Taifa kama ubin wao

Sasa kuna mahali mtoto wa Nyerere kaacha kufikiri vizuri

Mimi nikizaa mtoto wangu nitamwita jina la Nyerere aisee
 
Ni majina ya kuwatambulisha kisanii tu hayana ubaya wowote. Hata baba wa taifa sio mmiliki wa ilo jina la Nyerere, wapo Nyerere wengine wengi tu. Angeeleweka zaidi kama hao wasanii wangetumia jina lote la baba wa taifa yaani msanii ajiite Julius Kambarage Nyerere
 
Mtu kama unafanya mambo mazuri katika jamii sidhani wahusika wataona aibu ukijihusisha na ubini wao.

Sasa bwana Steve naona hujakubalika na wahusika wa jina la Nyerere.

Jichunguze kuna kitu unakifanya wazi wazi au sirini hakina sifa nzuri kwa jamii.
anafanywaje sirini?
 
Pia wanachanganya baba wa Taifa na baba yao.

Baba wa Taifa ni Mali ya Taifa sio Mali ya Familia.
Kwa hiyo watanzania wote tutumie ubini wa nyerere kisa baba wa taifa Acha usenge atumie jina la baba yake mbwa yule afadhari angekuwa na akili basi
 
Familia bhana wanadhani Mwalimu ni mtu wao pekee waende huko Zimbabwe wawaambie pia wasitumie ile bara bara ndefu kuliko zote Harare wao wameiita Mwalimu JK Nyerere kumuenzi..
 
Hao ndugu ni wajinga, wakati wa utawala wa baba yao elimu ilikuwa bure, hawakusoma, madaraka akaishia kwenye ulevi na upromota wa ngumi, Makongoro gari yake muda wote imejaa pombe, imebidi mfumo ukamfiche maporini Huko Katavi kuepuka aibu
Vipi wewe ndiye Steve Nyerere usiyetaka kutumia jina la baba yako umeng'ang'ania kutumia ubini wa baba yake Madaraka?
 
Nyerere alikosea sana kuto wasomesha watoto.

Mtu kuchagua jina si ni jambo la hiyari yake ?

Kwani Nyerere wa kwanza ni huyo baba yao?

Kwani kila Nyerere ni Kambarage ?

Hakuna hatia miliki ya Jina, watu wanaojiita Yesu sembuse Nyerere.

Maendeleo hayana Chama.
Madaraka kasoma yawezekana zaidi yako...kati ya watoto wa Nyerere waliosoma ni Madaraka...ana Masters from UK miaka hiyo,na kasoma Shycom ikiwa bado ya moto kabisa
 
Wapo wengi.
Sasa huyu ukoo wake ni Mangele ( kama sijakosea) sio Nyerere.
Sasa watoto wanyerere wamefanya kikao Cha watu wote wanaotumia Hilo jina kama ubini wao hata kama hawana undugu nao kuwaonya wasanii maana wasije fikiri kina Nyerere wote ni ndugu
 

Kuna msanii uchwara, ambaye jina lake halisi ni Steve Mengele, amejitokeza sana hivi karibuni kwa kujiita Steve Nyerere.

Haichekeshi, haipendezi na ni dharau kwa kibaka msanii uchwara kujaribuvkutumia jina la Mwalimu ilinkujikweza na kujinufaisha.

Kwa jicho la tatu, ni kudhara uzao wa Mengele kwa mtu mwenye akili zake kuukana uzao huo na kujiita uzao wa Nyerre.
Ni mtu asiyefundishwa maadili tu awezaye kufanya hivyo
 
Jina linabeba nguvu pia ya
View attachment 3124602
Kuna msanii uchwara, ambaye jina lake halisi ni Steve Mengele, amejitokeza sana hivi karibuni kwa kujiita Steve Nyerere.

Haichekeshi, haipendezi na ni dharau kwa kibaka msanii uchwara kujaribuvkutumia jina la Mwalimu ilinkujikweza na kujinufaisha.

Kwa jicho la tatu, ni kudhara uzao wa Mengele kwa mtu mwenye akili zake kuukana uzao huo na kujiita uzao wa Nyerre.
Ni mtu asiyefundishwa maadili tu awezaye kufanya hivyo

Huyo Kijana huwa anafurahisha sana
 
Siafiki hata kidogo
Kwani kuna Ubaya gani
Mbona kawaida
Wanajiita diamond ni wengi
Wengine wanajiita kondeboy
Kuna Dada huku anaitwa Ray c
Kuna akina Beyonce wengi tu
Kuna watu wanaitwa Mayele

Yote hiyo ni kuonesha upendo tu
Na riziki wanapatia humo humo
Kwanza unakataza kwa msingi gani, sheria gani
Mm nafikiri kumuenzi mtu, ukitumia jina lake kwanza uwe competitor kwenye industry ya muhusika. Kwa issue hii Steven Mengere awe competitor kwenye uongozi wa siasa. Mfano awe mbunge machachari . Na uwe na vitu vitu vya Nyerere. Mfano:Lissu alikuwa mbunge machachari angekuwa anaitwa Lissu aka Nyerere. Na sio kuchukua jina lote la mtu na kuacha jina lako. Mfano , Harid Harubu aka cannavaro, ni mchezaji kweli wa soka. Na ana vitu vitu vya Cannavaro.

Sasa huyu Steven Mengere kwanza ni mwanasiasa uchwara na chawa. Kama ni siasa sio competitor. Hii ni kudhalilisha jina la Nyerere. Madaraka hakutaka tu kusema kwa undani lakin, ukweli wanamdhalilisha sana Nyerere. Hii ikemewe na serikali.
 
Back
Top Bottom