Kumbukizi za Kilingeni Msata: Aina mbalimbali za hirizi na makafara

Kumbukizi za Kilingeni Msata: Aina mbalimbali za hirizi na makafara

Unge kuwa unaweka na maana zake
Nimejitahidi kufafanua kwenye uchawi na kwenye kafara.. Kwa Mfano hili ni kafara la kupata utajiri
Money Drawing spell - free spell _ aromaG's Librar.jpeg
 
Nilichokiona hapa, kumbe uchawi wote ni ibada za sanamu, kanatengenezwa kasanamu kwanza, pepo linaingia kwenye sanamu, halafu unaanza kuliomba na kulipa sasaka,

Ile amri inayosema "usiwe na miungu mingine Ila Mimi" Hii ndio miungu halisi ilyozungumziwa, na watu wengi wa dini tofauti wanaiabudu
 
Acha watu waishi kwenye science yao na kila kitu kina negative na positive impacts, Kama hayajakukuta we kausha tu. Kuna watu humu wanatibiwa na kupona mambo yaliyoshindikana kwa Manabii feki. Kama una mgonjwa wa aina yoyote iwe Kansa, Ukimwi, Presha au ugonjwa wowote nicheki. Kuna mtu humu Wazazi wake walikuwa na HIV na wanaendelea vizuri na baada ya mwezi wameambiwa wakapime
Waende hospital sasa....sio porojo tu
 
Nilichokiona hapa, kumbe uchawi wote ni ibada za sanamu, kanatengenezwa kasanamu kwanza, pepo linaingia kwenye sanamu, halafu unaanza kuliomba na kulipa sasaka,

Ile amri inayosema "usiwe na miungu mingine Ila Mimi" Hii ndio miungu halisi ilyozungumziwa, na watu wengi wa dini tofauti wanaiabudu
Ile amri inayosema "usiwe na miungu mingine Ila Mimi" Hii ndio miungu halisi ilyozungumziwa, na watu wengi wa dini tofauti wanaiabudu📍🔨
 
Ndo maana wachawi hawampendi Mwamposa, ànawaharibia mitambo yao.
Wanamwita tapeli kumbe zile sadaka walitaka wapewe wao!
Wachawi katili sana, Mwamposa abarikiwe sana.
Hakuna watu wena kama wachawi ndio maana hata hao kina Mwamposa ni wafuasi watiifu wao wachawi na nguvu zao wanazipatia huko😂
 
Sayansi inaweza vipi kujtenga na uchawi ikiwa wale woote waliopewa tuzo za Nobo ( visanamu ) ukiwafuatilia walikuwa memba was kikundi fulani Cha Siri ?
 
Back
Top Bottom