Kumbukizi za Kilingeni Msata: Aina mbalimbali za hirizi na makafara

Nilichokiona hapa, kumbe uchawi wote ni ibada za sanamu, kanatengenezwa kasanamu kwanza, pepo linaingia kwenye sanamu, halafu unaanza kuliomba na kulipa sasaka,

Ile amri inayosema "usiwe na miungu mingine Ila Mimi" Hii ndio miungu halisi ilyozungumziwa, na watu wengi wa dini tofauti wanaiabudu
 
Waende hospital sasa....sio porojo tu
 
Ile amri inayosema "usiwe na miungu mingine Ila Mimi" Hii ndio miungu halisi ilyozungumziwa, na watu wengi wa dini tofauti wanaiabudu📍🔨
 
Ndo maana wachawi hawampendi Mwamposa, ànawaharibia mitambo yao.
Wanamwita tapeli kumbe zile sadaka walitaka wapewe wao!
Wachawi katili sana, Mwamposa abarikiwe sana.
Hakuna watu wena kama wachawi ndio maana hata hao kina Mwamposa ni wafuasi watiifu wao wachawi na nguvu zao wanazipatia huko😂
 
Sayansi inaweza vipi kujtenga na uchawi ikiwa wale woote waliopewa tuzo za Nobo ( visanamu ) ukiwafuatilia walikuwa memba was kikundi fulani Cha Siri ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…