Kumbukumbu: prof. kighoma ali malima (15 december 1938 - 6 august 1995)

Alikuwa mdini sana kiasi ofisini alileta maji katika thermos na Mhudumu alikoroga chai mbele yake. Aliweka chumba maalum cha kuswalia! Mengine tumsitiri ila
Uwezo wa kufikili umeishia hapo tu?
 
Sijakutana na mtu anapenda ugomvi kama wewe.

Sikumbuki kusema 'hamjui' nakumbuka kukwambia wewe 'haujui'

Majina ambayo nimeyasikia hapa hayajatajwa katika historia niliyosoma. Ndiyo maana nimesema nayasikia hapa.

Mama uwe unasoma basi. Hivi unavyofanya unakua kama ukikaa ukishikwa na hamu ya ugomvi ni kulog in kutafuta post kuijibu unavyojisikia kisha kusubiri majibu.
Binadamu wa kwanza alikuwa Nyani usisahau hili dàima.

BIN ADAM..

MTOTO WA ADAMU.

ADAM aliumbwa na Mungu.

Hautaki basi Mungu hayupo.
 
Sijakutana na mtu anapenda ugomvi kama wewe.

Sikumbuki kusema 'hamjui' nakumbuka kukwambia wewe 'haujui'

Majina ambayo nimeyasikia hapa hayajatajwa katika historia niliyosoma. Ndiyo maana nimesema nayasikia hapa.

Mama uwe unasoma basi. Hivi unavyofanya unakua kama ukikaa ukishikwa na hamu ya ugomvi ni kulog in kutafuta post kuijibu unavyojisikia kisha kusubiri majibu.
Na wewe ulipokuja kuzua kuhusu AMNUT ulikuwa hutafuti ugomvi?

Na kauli zako za "tulia" ulikuwa hauutafuti ugomvi?

Kama huyo "lecturer" wajo nae alikuwa hayajui hayo majina basi elewa kuwa alikuwa anakujaza ujinga. Anakufundisha visivyokuwepo na vilivyokuwepo havijui. Wewe umekuja na mikogo humu na lugha za maudhi kwa usiyoyajuwa. Hakafu unataka kugeuza kibao? Huwezi.

Mimi sijui. Wewe unaejua mbona umeshindwa kuja na reference? Na nnakuhakikishia hautoweza.

Kuna kama wewe walijifanya wanajua mpaka leo wengine zaidi ya miaka 5 sasa wameshindwa kuja na reference. Kuna anaejiita Yericko Nyerere mpaka leo tunamsubiri. Kuna anaejiita Mzee Mwanakijiji licha ya Nguruvi3, tunawasubiri waje na kitabu chao cha kupinga historia aliyoandika Allama Mohamed Said, kimyaaaa.

Na juzi juzi, miezi inakatika,hapa anaejiita pascal aliahidi kuja baada ya kusoma kitabu. Mwandishi "aliyebobea" na mtu wa kanisa la mtakatifu Josefu, wakati nyuma tu ya hilo kanisa kuna duka kuuuuubwa la vitabu linalimilikiwa na kanisa hilo hilo, eti hajui pa kukipata kitabu cha Padri Sivalon. Hata maktaba ya kanisa hakuna? Si uongo huo.

Na wewe utatulia tu.

Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.

Usitafute upenyo wa kutokea kupitia kwangu, jibu uliyopewa huko na Allama Mohamed Said.

Na bado.
 
Na wewe ulupokuja kuzua kuhusu AMNUT ulikuwa hutafuti ugomvi?

Anhaa dah nimekuelewa mama yangu. Kumbe una prejudice, kwamba yeyote atakayeuliza ni amekuja kuanzisha ugomvi.

Ebwana mi sipo huko. Nimemaliza chuo muda sana, huu uzi nimeujibu kama mtu ninayekumbuka nilichofundishwa ingekua kunatakiwa maandalizi ningejitahidi kutafuta rejea.

Wewe ni mtupu kama mimi wote tunategemea elimu kutoka kwa mleta uzi. Mwanafunzi mwenzangu unakua mkali, matusi na kujiona ni monitress wa huu uzi.

Mama kua mpole, tulia hujui kitu. Mwenye uzi atatuelewesha. Pia usinifananishe na watu hiyo ni dharau.
 
Ndugu zangu,
Labda nieleze niyajuayo ambayo yaliongeza uadui dhidi ya Malima.

Uislam ulitumika sana kuwaunganisha wananchi dhidi ya dhulma za
ukoloni.

Bahati mbaya baada ya uhuru walioaminiwa na dhamana ya kuendesha
nchi wakapatwa na hofu kubwa kuhusu Uislam na Waislam wenyewe.

Uislam ukawa somo nyeti sana ikawa sasa, ''usichanganye dini na siasa,''
ndiyo kauli mbiu lakini ukweli haikuwa usichanganye dini na siasa bali
hapo penye, ''dini,'' weka Uislam.

Mbona wakati wa Tanganyika inapigania uhuru wake Uislam haukutisha?

Kipi kimezidi baada ya uhuru iwe Uislam ni kitu cha kufanyiwa mipango
udumae na Waislam wasipate elimu ili status quo ya kikoloni ibakie?

Nini kosa la Malima?

Malima
alipokuwa Waziri wa Elimu na alikuwa Muislam wa kwanza kushika
nafasi ile aligundua mtandao ulijengeka ndani ya wizara uliokuwa kwa muda
mrefu unawahujumu vijana wa Kiislam kupata elimu ya juu.

Malima akaandika barua kumtanabaisha Rais Mwinyi kuhusu dhulma hii.

Barua hii ilivujishwa na lile lililokuwa likidhniwa siri sasa likawa liko dhahri
kwa Waislam kwa ushahidi wa waziri wa serikali.

Malima hili hakulificha alikuwa kila akialikwa katika shughuli za Waislam
analieleza.

Hapo ndipo chuki dhidi yake ilipozidi na maadui zake kwa kukosa busara
wakaamua kulipeleka suala lile kwenye chama lijadiliwe.

Akili zao hazikuwatuma kutafuta ukweli wa shutuma zile nzito.

Waislam walikuwa na ushahidi wa haya yote na waliwahi kusambaza waraka
nchi nzima kwa Waislam kueleza dhulma hii waraka ambao ulisambazwa kwa
wabunge wote wakati bunge linakaa Ukumbi wa Karimjee.

Hii ilikuwa mwaka wa 1981.

Mwaka wa 1987 Malima alipokuja kueleza yale katika barua kwa Rais Mwinyi
kwa Waislam barua ile ilikuwa marudio ya onyo lao walillotoa miaka sita iliyopita.

Tatizo hili ni moja ya matatizo ambayo kama Mzanzibari na Muislam yalimtatiza
sana Rais Mwinyi.

Mwinyi alijuwa unyeti na uzito wa shutuma hii dhidi ya watendaji wa Wizara
ya Elimu kuingiza ubaguzi wa kidini ndani ya serikali.

Hofu kubwa nchi nzima ikawa nini Waislam watafanya baada ya kujua dhulma
hii na watajenga mstakbali gani dhidi ya serikali?

Msaada wa Nyerere ulihitajika sana.
Naweka nukta hapa na naamini nimeeleweka.
 
Sijakutana na mtu anapenda ugomvi kama wewe.

Sikumbuki kusema 'hamjui' nakumbuka kukwambia wewe 'haujui'

Majina ambayo nimeyasikia hapa hayajatajwa katika historia niliyosoma. Ndiyo maana nimesema nayasikia hapa.

Mama uwe unasoma basi. Hivi unavyofanya unakua kama ukikaa ukishikwa na hamu ya ugomvi ni kulog in kutafuta post kuijibu unavyojisikia kisha kusubiri majibu.
Nimekusoma vizuri sana. Mwanzo mpaka mwisho. Na mimekusoma mpaka "between the lines".

Ni heri ya mimi unaenirushia dongo la "prejudice" kuliko wewe uliyekuwa "brain washed". Unaijuwa AMNUT lakini ukajazwa ujinga wa "kugusia" na "lecturer" wako kuwa AMNUT ni "chama chao".

Sasa darsa limeanza juu huko. Na bado hujaja na "reference" zako.

Nimekwambia kwangu hutopata upenyo.

Jee, umefahamu sababu za AMNUT kuundwa?
 
Anhaa dah nimekuelewa mama yangu. Kumbe una prejudice, kwamba yeyote atakayeuliza ni amekuja kuanzisha ugomvi.

Ebwana mi sipo huko. Nimemaliza chuo muda sana, huu uzi nimeujibu kama mtu ninayekumbuka nilichofundishwa ingekua kunatakiwa maandalizi ningejitahidi kutafuta rejea.

Wewe ni mtupu kama mimi wote tunategemea elimu kutoka kwa mleta uzi. Mwanafunzi mwenzangu unakua mkali, matusi na kujiona ni monitress wa huu uzi.

Mama kua mpole, tulia hujui kitu. Mwenye uzi atatuelewesha. Pia usinifananishe na watu hiyo ni dharau.
Naona hukufundishwa bali ulijazwa ujinga "brain washed" na wewe ukauleta hapa na ukadhani tutakaa kimya. Tutakuweka sawa tu na utauelewa mchango wa Waislam kabla na baada ya Uhuru na pia utaelewa madhila tuyapatayo.

Naam hili darsa la Allama @ Moahamed Said huwa hatuchoki kujifunza. Hatujaanza leo na nnakuhakikishia hatutamaliza leo.

Chinu nnakuwekea links zikusaidie kupata majina mengine ambayo nayo pia hujapata kuyasikia. Uyasikue na uelewe walifanya nini na kwanini. Haujaanza wewe kutokuyajuwa na utayajuwa tu.

Nimekusoma vizuri sana. Mwanzo mpaka mwisho. Na mimekusoma mpaka "between the lines".

Ni heri ya mimi unaenirushia dongo la "prejudice" kuliko wewe uliyekuwa "brain washed". Unaijuwa AMNUT lakini ukajazwa ujinga wa "kugusia" na "lecturer" wako kuwa AMNUT ni "chama chao".

Sasa darsa limeanza juu huko. Na bado hujaja na "reference" zako.

Nimekwambia kwangu hutopata upenyo.

Jee, umefahamu sababu za AMNUT kuundwa? Na umefahamu kwanini Kighoma Malima alichukiwa?
 
Castr

Juu huko nilikuahidi kukuwekea links za darsa ili upate kuyajua majina na mengine mengi ambayo "lecturers" wako hawajawahi kukufundisha. Tusome...

Anza na hizo na zingine zitafatia tunavyoendelea na darsa.
 
Na wewe ulipokuja kuzua kuhusu AMNUT ulikuwa hutafuti ugomvi?

Na kauli zako za "tulia" ulikuwa hauutafuti ugomvi?

Kama huyo "lecturer" wajo nae alikuwa hayajui hayo majina basi elewa kuwa alikuwa anakujaza ujinga. Anakufundisha visivyokuwepo na vilivyokuwepo havijui. Wewe umekuja na mikogo humu na lugha za maudhi kwa usiyoyajuwa. Hakafu unataka kugeuza kibao? Huwezi.

Mimi sijui. Wewe unaejua mbona umeshindwa kuja na reference? Na nnakuhakikishia hautoweza.

Kuna kama wewe walijifanya wanajua mpaka leo wengine zaidi ya miaka 5 sasa wameshindwa kuja na reference. Kuna anaejiita Yericko Nyerere mpaka leo tunamsubiri. Kuna anaejiita Mzee Mwanakijiji licha ya Nguruvi3, tunawasubiri waje na kitabu chao cha kupinga historia aliyoandika Allama Mohamed Said, kimyaaaa.

Na juzi juzi, miezi inakatika,hapa anaejiita pascal aliahidi kuja baada ya kusoma kitabu. Mwandishi "aliyebobea" na mtu wa kanisa la mtakatifu Josefu, wakati nyuma tu ya hilo kanisa kuna duka kuuuuubwa la vitabu linalimilikiwa na kanisa hilo hilo, eti hajui pa kukipata kitabu cha Padri Sivalon. Hata maktaba ya kanisa hakuna? Si uongo huo.

Na wewe utatulia tu.

Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.

Usitafute upenyo wa kutokea kupitia kwangu, jibu uliyopewa huko na Allama Mohamed Said.

Na bado.
Naona wadini msiponitaja huku hamjisikii amani
 
aikua poa sana huyu mtu,,,jemedali wa kukumbukwa
 
Naona wadini msiponitaja huku hamjisikii amani

"Wadini" maana yake nini?

Tunasubiri vitu ulivyoahidi. Tunakukumbushia tu. Au ulidanganya? Kwanza uliahidi mkanda wa video wa uliyejidai baba'ko (mwanawe akaja kukushushua). Kimya mpaka leo.

Halafu ukaahidi details za Mkwawa. Kimya mpaka leo.

Halafu ukaahidi kuja na kitabu mbadala cha kupinga historia aliyoiandika Mohamed Said. Kumya mpaka leo.

Umesahau?
 
Ni mengi na wala si ya kuambiwa. Alikuwa anapendelea kiuwazi waislam na kuwanyongelea mbali ambao si waislam. Usinichokoze nitoe vidhibiti hata kutaja mengine. Tuishie hapo mtetezi wa uislam
wengine hatukuwepo tupe maarifa tujuwe
 
Njinjo,
Prof. Malima
hakuwa mdini ila alitahadharisha athar za udini uliokuwapo.

Ukitaka kusoma kuhusu tatizo hili soma kitabu cha Maisha ya Abdul Sykes
sehemu ya tatu ya kitabu na ndiyo ya mwisho nimeipa jina ''Njama Dhidi ya
Uislam.''

Katika sehemu hiyo nimeeleza kila kitu.
Sasa kama unataka kujua ukweli tuanze hapo.

Hili suala la tatizo ubaguzi ni nyeti sana na tumepata kujadili hapa Majlis
na mimi nimetoa ushahidi mwingi kwa kutumia rejea za kuaminika.

Huna wewe cha kumsitiri Prof. Malima ila wapo watu kwa kufanya staha
wanajizuia kusema mengi wayajuayo kwani zipo ''legacy,'' za baadhi ya
viongozi hakuna anaetaka zivunjike.

Lakini kama wewe unautaka mjadala huu fungua uzi wako mpya nami
nitakuja kutoa darsa.

Kuswali ndani ya ofisi hakujakuwa udini.

Mimi maisha yangu yote ya kazi nikiswali ofisini kwangu na nilikuwa na
msala kila ofisi niliyofanyakazi na wakubwa zangu walilijua hili na hata
siku moja hawakunikataza na wako wengi wanafanya hivi.
Mkipewa nchi mnaiharibu Sana kwa ufisadi. HM. JK. Mlifanya nini?
 
Back
Top Bottom